Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Kumbuka yule ni mtoto wa mtu, km umemshindwa kwnn usimwache wakati wanawake wako wengi? Tena ww unayepiga wanawake una bahati hujamwoa mwanangu au dada yangu, maana ukimpiga jioni, mm asubuhi niko kwako nakushushia kipigo cha maana hadi utakapoelewa kua unayempiga naye ana wazazi
Mzee ni hivi;' ikinibidi napiga mke wangu na baba yake napiga pia. Hii inaitwa two in one.
 
Utiifu hauji tu kwa kutamka utiiwe kijana, utii hupewa anaeustahili, kwahiyo ukiona unatumia mabavu ili mkeo akutii basi ujue yo not worth her utii.
kama ni hivyo kizazi cha wanawake wa mkondo huo hawatoisha, shule zenu na makundi sijui mavyama ya kijinsia yanawaharibu akili ninyi wanawake wa nyakati hizi.
bibi zetu na mama zetu hawakutumia uchawi kuishi na waume zao kwa muda mrefu, unyenyekevu ndo ilikuwa silaha kubwa, ila nyie wa sasa TGNP, TAMWA, TAWLA na Ustawi Wa Jamii zimewaharibu akili kutiandani na viji shahada mnavyopata ndo akili zinawaruka kabisa.
napenda sana kuishi na mwanamke kwa amani na upendo, na mimi binafsi najua sana kubembeleza na kudekeza, ila usiniletee upuuzi wako wa usawa wa kijinsia kunipanda kichwani!
AISEE, NITAKUNYOOSHA!!
 
Kuna wanawake nunda sana hasa kama hajasoma, kipigo lazma kitembee, huyo wako kasoma soma? Piga tuuu akiendelea mtafutie mwenzake (small house) atatia adabu.
 
Kupiga ni makosa hatukatai;
Lakini kuna haja ya kumkumbusha kwa vitendo pale anapoenda nje ya mstari. Sometimes mkipishana kauli huwa wanafurahi wakipigwa japo kibao kimoja, sababu baadhi yao wanaamini kupigwa ndo kupendwa hukoo!!
 
Huu ndiyo msimamo sahihi. Huwezi kumpiga mtu ambaye unampenda ni mambo ya mwaka 47 ni ushenzi uliopitwa na wakati. Mwenzio kakosea kaeni chini muyaongee kiutu uzima ili maisha yaendelee, mkishindana basi muache siyo kufanya mambo ya kishenzi ya kuamua kumpiga.

Moja ya kanuni zangu za kudumu ni kutokumpiga mwanamke ila nahesabu makosa tu.....nikishindwana nae kuna sehemu nitambana na atakaa sawa!
 
Tatizo Ni Viherehere Mno Na Waongeaji Sana Mwanamke Anaongea Kama Yuko Studio Anatangaza Kipindi Cha Miziki Ya Taarabu, Badilikeni. Binafsi Siwezi Kumpiga Mwanamke Nitapata Kesi.
 
Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.

Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
Hutafanikiwa kwa haya mawazo yako mazuri mpaka pale serikali itakapoacha kuwapiga na kuzilinda haki za walifu kwa kuiacha mahakama iwashughulikie.
 
Lakini wazungu sidhani kama wameweza

1. Ndoa zao zinapumulia machine
Wamebaki kupiga masterbation na kutengeneza watoto wa kwenye chupa.

2. Wengine wanakodi wanawake kuwazalia baada ya mkataba kuisha waondoka zao.

3. Wengine wanunua shah'wa toka spermbank na kupandikiza mimba

Yote haya ni failure proof wameshindwa kudhibiti ndoa.
Lakini Africa mbali na vipigo ndoa zina survive hakika ina culture strong kwenye marriage. I think!!
 
Hata wao zipo zinazo survive na zipo ambazo hazi survive just like Africans zipo zinazosurvive na zipo ambazo zinashindwa kusurvive ..... Sema wenzetu technology imekuwa kiasi cha kuwaruhusu kufanya hivyo nadhani ata sisi siku si nyingi watu wataanza kufanya sperm donor nawengine kupandikiza
Lakini wazungu sidhani kama wameweza

1. Ndoa zao zinapumulia machine
Wamebaki kupiga masterbation na kutengeneza watoto wa kwenye chupa.

2. Wengine wanakodi wanawake kuwazalia baada ya mkataba kuisha waondoka zao.

3. Wengine wanunua shah'wa toka spermbank na kupandikiza mimba

Yote haya ni failure proof wameshindwa kudhibiti ndoa.
Lakini Africa mbali na vipigo ndoa zina survive hakika ina culture strong kwenye marriage. I think!!
 
Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.

Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
Ungekua mwanamke ningehisi ni single mother mkuu..
 
Lakini wazungu sidhani kama wameweza

1. Ndoa zao zinapumulia machine
Wamebaki kupiga masterbation na kutengeneza watoto wa kwenye chupa.

2. Wengine wanakodi wanawake kuwazalia baada ya mkataba kuisha waondoka zao.

3. Wengine wanunua shah'wa toka spermbank na kupandikiza mimba

Yote haya ni failure proof wameshindwa kudhibiti ndoa.
Lakini Africa mbali na vipigo ndoa zina survive hakika ina culture strong kwenye marriage. I think!!
We unakaa na wazungu ehhh?
 
Back
Top Bottom