Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.

Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
Ameeeen!
 
Sijaoa lkn nina uzoefu na Wanawake, kama uko vizuri kwenye sex na unamfikisha fresh hawezi ku kukuzingua, kila kitu kipo hapo kwenye Sex, ukiona anakuzingua ujue haumridhishi hivyo anajaribu kuwasiliana na wewe kivingine kwamba ongeza game,...
Dushe c ishu
 
Na ukiona mtu anatoa sababu ya kumpiga mwanamke ni Udhaifu au Haupo vizuri kimapenzi au ngono..basi ujue Ajaoa bado haijui ndo..ndo maana anawaza Ndoa ni Ngono sio vinginevyo
 
Mkuu sio kila kinacho tokea kwenye mahusiano shida ni kusimamia shoo...wanawake wengine sana matatzo yao tuu....kikihusika kipigo akili yake inakaa sawa
Hizi ndizo akili mlizoambiwa mtumie? Ule mstari unatakiwa ubadilike iwe muishi nasi kwa mabavu.

Heshima inakuwa earned, ukiona hauheshimiki basi ujue kuna mahali umelegalega, huo ndio ukweli mchungu.
 
Kua mume bora ni zaidi ya ngono mkuu, ingekua simple kiasi hicho basi ndoa nyingi zisingekua na migogoro maana suluhisho ni rahisi

Unafikiri kupiga dushe fresh na demu akaridhika ni kazi rahisi? Wengi hawawezi ndiyo maana mademu wanawaletea za kuleta!
Mwanamke hawezi kuwasiliana na Mwanaume moja kwa moja hivyo anatafuta namna ya kufikisha ujumbe, lkn Sex fresh inasaidia kumaliza ugomvi jaribu hiyo mbinu, kwangu mimi na Demu wangu imefanikiwa!
 
Napenda uungwana sana ila kuna kiwango inabidi tusizidishe sana uungwana.

Biblia inasema "...iweni na kias...", uungwana ukizidi sana ni uboya wa kiwango cha Goodluck Mlinga au Lusinde.

Inapobidi, mwanamke apigwe kama njia ya kujua makosa yake yana uzito gani!
Wewe inapobidi nani anakupiga?
 
Ndoa ni neno la kistaarabu maana yake Sex iliyohalalishwa tu, lkn nature ya Binadamu haibadiliki, Mwanamke yoyote yule kama unamsex fresh na anaridhika kero zote zinaisha, ukiona anakuzingua usimpige wee ongeza game, hiyo imenisadia sana kwa demu wangu, sasa hivi nimeshamjulia, Dawa ni dushe tu ukimfikisha hata hela kwako hahitaji!
Wewe ni mvulana bado sio mwanaume.

Kama unaishi na mkeo kwa kigezo cha ngono peke yake bado unajidanganya, ndoa inahitaji uwe makini katika kila nyanja, unyumba utoe, utatue changamoto za kifamilia, utatue changamoto za kiuchumi, utatue matatizo ya kijamii yanayomhusu mwenzako endapo yako ndani ya uwezo wako, ushurikiane na mwanzako kupanga mipango ya kimaendeleo.

Sasa hayo yote usifanye we kalia ngono 24/7 then uone kama ndoa yako itakua na furaha
 
Unafikiri kupiga dushe fresh na demu akaridhika ni kazi rahisi? Wengi hawawezi ndiyo maana mademu wanawaletea za kuleta!
Mwanamke hawezi kuwasiliana na Mwanaume moja kwa moja hivyo anatafuta namna ya kufikisha ujumbe, lkn Sex fresh inasaidia kumaliza ugomvi jaribu hiyo mbinu, kwangu mimi na Demu wangu imefanikiwa!
Nakukumbusha demu ni tofauti na mke.
Ni vigumu kunielewa maana una demu sio mke.
 
Wewe ni mvulana bado sio mwanaume.

Kama unaishi na mkeo kwa kigezo cha ngono peke yake bado unajidanganya, ndoa inahitaji uwe makini katika kila nyanja, unyumba utoe, utatue changamoto za kifamilia, utatue changamoto za kiuchumi, utatue matatizo ya kijamii yanayomhusu mwenzako endapo yako ndani ya uwezo wako, ushurikiane na mwanzako kupanga mipango ya kimaendeleo.

Sasa hayo yote usifanye we kalia ngono 24/7 then uone kama ndoa yako itakua na furaha

Sijasema uishi kwa kigezo cha ngono peke yake, lkn ngono ni sehemu kubwa ya ndoa kama haijakaa sawa pia ndoa itayumba, Siri ya Mwanamke ni kumridhisha na Sex, hiyo inatatua sehemu kubwa sana ya tatizo!
 
Kama ujao huna uzoefu na wanawake, Peleka upumbavu huko. Ukishaoa utajua mambo mengi!!!!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu ambae yupo na mchumba, yupo katika ndoa na ambaye amemzarisha mwanamke na wanakutana mara chache.
Ukikaaa na mwanamke kitanda kimojaa, zaidi ya miezi 6. Ndio utakuwa umemjua mwanamke vizuri, sio hii anakaa kwao mkiitajiana anakuja mwenyewe, weka mwanamke ndani ndio ujue akili zao, unamwachia pesa fanya manunuzi ya kitu fulani unakuta kashafanya yake, tena ukijichanganya ukamuachia pesa nyingi ndio utaisoma namba utasikia kama mpaka baba mkwe au mama mkwe na wakati umemuachia pesa ya chakula ya wiki nzima mfano
 
Mwanzo wa Mke ni Demu, na kinachobadilika ni utaratibu tu lkn mtu ni yule yule!
Magufuli wa enzi za kampeni za uchaguzi mkuu Oct 2105 ndiye magufuli baada ya uchaguzi 2017?

Tofautisha kua mgombea na kua na madaraka, kama hujaelewa tofauti ya demu na mke angalia huo mfano wa mgombea na mtu mwenye madaraka
 
Back
Top Bottom