Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,842
Hapo ujinga ni upi?Unahamasisha ujinga[emoji34] [emoji34]
Hapo ujinga ni upi?Unahamasisha ujinga[emoji34] [emoji34]
utakua Mungiki ww sio mke[emoji1] [emoji1]nitakupasua tena
Akikanusha Nishtue mkuuBila shaka wew mkurya
Mimi sio mkurya ww Mimi mnyakyusa Wa mbeya....kimaisha naish dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23]utakua Mungiki ww sio mke[emoji1] [emoji1]
Acha mapovu ww unajua kbs nyie bila kupigwa hamuendi lasivyo mngeachika snWewe ni mjinga uliye na PHD ya ujinga.
Ungrtumia busara usingefikia huko.Unaona amerudi kwenye mstari eh?! Wala siyo.Huyo tu sasa hivi anakuogopa wala hakuheshimu.Na jiandae sasa kama ulikuwa hujui.Mwanamke ukitaka akuchukie atakunyoosha kweli kweli.Na kama hujui wana akili kukuzidi wewe.Usishangae mwaka kesho unambembeleza umbebee kopo la mkojo kupeleka nje,we jiandae na usione aibu kutuletea mrejesho. Hivi,kama wanawake wangeweza kupiga wanaume kama wanavyopigwaga,si leo wanaume wote wangekuwa wameshakufa kabisa? Je,umejichunguza na kuangalia wewe umechangia kiasi gani yeye kufanya hayo makosa unayomtuhumu? Hivi, tupe angalau makosa 4 yanayoweza kumfanya mwanamke apigwe! Kama hujabaki home unapika na yeye kaenda kugegedwa. Kuna mtu alihoji eti unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu! Vyanzo ni kama hivi dada.Ukimuudhi tu,atakuona bogas, atakaa na wewe lakini furaha atapata kwingine.
Ww mwanamke.......unamshaur mwanaume kuishi na mwanamke utaweza?
Tanzania inaitaji wanawake kama ww...mnao kubali ma kelbu pindi mnapokosea....MUNGU abariki kizazi chakoKuna mbadala wa kipigo kweeli, ukilinganisha na kosa!!!
Yapo makosa madogo madogo ambayo ni ya kurekebishana tu, ila kuna ambayo lazima upewe walau kelbu moja!!!
HahahaTanzania inaitaji wanawake kama ww...mnao kubali ma kelbu pindi mnapokosea....MUNGU abariki kizazi chako
Ni malezi nadhani, mtu amekuwa akishuhudia babake anampiga mama yake nae hufuata nyayo hizo hizo. Sasa sijui mwanaume ww ukikosea uadhibiwe pia?Ni kuishi nao kwa kutumia akili ya kiume [akili ya kuzaliwa] "Ukimuona mwanaume ananyanyua mkono wake kumpiga mwanamke elewa kwamba huyo hajawahi kunyosha mkono darasani kujibu swali"
Kama hauna nguvu za kumpiga unamvizia tu.ha haaaaa espy wewe
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku hizi wamekuwa na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafadhari tusiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::
Utiifu hauji tu kwa kutamka utiiwe kijana, utii hupewa anaeustahili, kwahiyo ukiona unatumia mabavu ili mkeo akutii basi ujue yo not worth her utii.Kama una uwezo wa kumpiga mumeo akikosea nawe mdunde! sio kesi
ila utake usitake utiifu wa mke kwa mumewe ndo amani ya maisha baina yao.
wazazi wanapowaonya na kuwapiga watoto zao haimaanishi hawakosei, je na wao wakikosea waadhibiwe na nani?
baada ya hapo ndukiKama hauna nguvu za kumpiga unamvizia tu.