Hayo unajiongelee bhana. Wewe ukilelewa na mama,utamtesa utotoni,ukikuwa ukaelewa anavyohangaika,atakusimulia pengine na kukusingizia,kumbuka wewe ndo chanzo.Hakuna mtoto asiyempenda mama yake,hasa wa kiume,sasa utaambulia nini? Je,siku akiwambia huyo siyo baba yenu? Baba yenu alikufa,yule hajanipa ujauzito! Wewe, sasa siku utaanza kutaka kuhakiki kama kweli hao watoto ni wako au la,hizo gharama utaziweza?! Fikilia unakutana nao unajua hawa ni wanangu lakini wao hawakutambui! Mwanamke akiamua kukutesa dunia utaiona chungu miaka yote mkuu.
Mnawaonaga wajinga lakini ni wajanja mno.Jenga nao urafiki wa kawaida utajifunza mengi