Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Sijaoa lkn nina uzoefu na Wanawake, kama uko vizuri kwenye sex na unamfikisha fresh hawezi ku kukuzingua, kila kitu kipo hapo kwenye Sex, ukiona anakuzingua ujue haumridhishi hivyo anajaribu kuwasiliana na wewe kivingine kwamba ongeza game,...

Yani hao wanawake wa kukutana nao usiku na asubuhi kila mtu na hamsini zake ndio uje utuambie una uzoefu na wanawake mkuu?
 
Napenda uungwana sana ila kuna kiwango inabidi tusizidishe sana uungwana.

Biblia inasema "...iweni na kias...", uungwana ukizidi sana ni uboya wa kiwango cha Goodluck Mlinga au Lusinde.

Inapobidi, mwanamke apigwe kama njia ya kujua makosa yake yana uzito gani!
"Usimnyime Mwanamke vibao"
 
Ni kuishi nao kwa kutumia akili ya kiume [akili ya kuzaliwa] "Ukimuona mwanaume ananyanyua mkono wake kumpiga mwanamke elewa kwamba huyo hajawahi kunyosha mkono darasani kujibu swali"
Wewe endelea kujidanganya tu,
 
siku hz mwanamke hapigwi mkuu... anaonywa kwa maneno matamu tena yasiyomfanya ajisikie vibaya sana... na pia unaangalia chanzo cha yeye kufanya hivyo... msipoelewana hapo ni kumwacha aende kwao.. kumpiga sio solution..!!!!
Acha ujinga ww utamuacha mkeo kisa anashinda kwa majirani kupiga umbea na ukimuonya asikii
 
Naiman bado hujajua mapenzi na upendo,,unachanganya vtu viwili kwa kuiaminisha akili yako iamini sex ni mapenz... Unaweza kupewa sex lakin usipendwe,sex sio kigezo cha kupendwa ni tendo tu la kumjua mwenzi wako
Na ndio maana kakalia kupiga tu maana hana akijuacho.
 
Na nyie wanaume mlete muongozo, mkileta ushenzi mfanywe nini? .

when-your-friend-tells-you-about-all-all-the-shit-2109248.png
 
Mwanamke unaweza kuishi nae na mkafurahia mahusiano yenu bila hata sex...sijakataa sex heavy ni nzur lakin sio kipimo pekee cha kukuhalalisha kwamba akikosa hiko ndio ndoa inakua kero... Na mwanamke unaweza usimridhishe hata mwaka mzima nawewe usijue asilani... Ngoja ipo siku atakuambia toka nimekua na ww sijawah kufika mwsho nawe ulikua unaona ulikua unamlima kweli kweli sasa sijui utampiga au vip? Sex nzur na yenye afya ni maandalizi kabambe,na maandalizi mazur hayawez kuja bila kuelewana


Ndiyo nasema labda haujawaelewa Wanawake, anavyokwambia sivyo anavyomaanisha sisemi kwamba hilo haliwezekani kwani watu tuko tofauti lkn Wanawake wengi kama haumsex atakudharu ndiyo kuna msemo cuckold, yaani Mwanaume bozo ambaye Wanawake wanamtumia tu kupata kingine wanachokihitaji kama finance lkn anapigwa Miti na wengine!
 
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku izi wa
mekua na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafazar tisiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::

Wewe ni mjinga uliye na PHD ya ujinga.
Ungrtumia busara usingefikia huko.Unaona amerudi kwenye mstari eh?! Wala siyo.Huyo tu sasa hivi anakuogopa wala hakuheshimu.Na jiandae sasa kama ulikuwa hujui.Mwanamke ukitaka akuchukie atakunyoosha kweli kweli.Na kama hujui wana akili kukuzidi wewe.Usishangae mwaka kesho unambembeleza umbebee kopo la mkojo kupeleka nje,we jiandae na usione aibu kutuletea mrejesho. Hivi,kama wanawake wangeweza kupiga wanaume kama wanavyopigwaga,si leo wanaume wote wangekuwa wameshakufa kabisa? Je,umejichunguza na kuangalia wewe umechangia kiasi gani yeye kufanya hayo makosa unayomtuhumu? Hivi, tupe angalau makosa 4 yanayoweza kumfanya mwanamke apigwe! Kama hujabaki home unapika na yeye kaenda kugegedwa. Kuna mtu alihoji eti unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu! Vyanzo ni kama hivi dada.Ukimuudhi tu,atakuona bogas, atakaa na wewe lakini furaha atapata kwingine.
 
Ndiyo nasema labda haujawaelewa Wanawake, anavyokwambia sivyo anavyomaanisha sisemi kwamba hilo haliwezekani kwani watu tuko tofauti lkn Wanawake wengi kama haumsex atakudharu ndiyo kuna msemo cuckold, yaani Mwanaume bozo ambaye Wanawake wanamtumia tu kupata kingine wanachokihitaji kama finance lkn anapigwa Miti na wengine!
Kalale wewe ukioa ndo uchangie hapa hapakuhusu kwanza topic yenyewe inauliza walioa sasa unazungumza kitu ambacho hukijui. Ndoa ni zaid ya ngono aiseee....hivi unakaa nae 24/7 under the single roof
 
Hii kauli niliambiwa na babu yangu ukiona mwanaume anapiga mwanamke ujue kichwa ni ni zero, mwanaume mwenye akili na busara toka kwa Mungu huwa hatumii nguvu hata siku moja. Wanaotumia nguvu ni watu ambao wako weak sana na kiakili wako chini sana.
Ww mwanamke.......unamshaur mwanaume kuishi na mwanamke utaweza?
 
Mnakimbia kivuli chenu ,,ndoa inashikiliwa na mwanamke na yeye ndio ana amua idumu au ife. Sababu ndoa ni ya mwwnamke sio mwanaume
Ewe Mtu, unajua maana ya NDOA?

Umetoa wapi hilo ulilosema?

Ukishasema neno "NDOA" tayari ni muunganiko wa watu wawili au zaidi "waliokubaliana" kuishi pamoja.

Iwe ya mitara au ya mke mmoja.

Wewe unatuletea mboyoyo baridi.
 
Heeeee! Hivi ni tangu lini wanaume wamekuwa malaika na wanawake ndo wabaya tuu? Kabla hujamyooshea mtu kidole hembu jitathimini mwenyewe! Unapoomnyooshea mwenzio kidole kimoja , vinne vinakuangalia wewe na kukuuliza " Are you perfect enough to do this"
 
Back
Top Bottom