Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

KUMBE UNAJUA KINACHOUMIZA NI MAJIBU YA WANAWAKE. MANENO YA MWANAMKE YANAUMIZA DAWA YAKE AU UKUBALI KUWA BOYA UMWACHE AU JINO KWA JINO NA WEWE UNAMUUMIZA KWA KIPIGO.
 
Ukiona unakwazika umasepa tuu kiroho swafi

Mwanaume hawezi kukaa ma mwanamke asie naaadili
Inamana hadi unaamua kukaa naye huyo mwanamke hujajua tu kama hana maadili. Punguzeni hizo tabia kwa sababu hata wewe mwenyewe hapo ulipo mapungufu unayo ila anakuvumilia.
 
Sijaoa lkn nina uzoefu na Wanawake, kama uko vizuri kwenye sex na unamfikisha fresh hawezi ku kukuzingua, kila kitu kipo hapo kwenye Sex, ukiona anakuzingua ujue haumridhishi hivyo anajaribu kuwasiliana na wewe kivingine kwamba ongeza game,...
Unadhan mwanamke anataka sex tu?? Ha ha ha nakuombea upate mke ujue mwanamke anapenda nn,,sex ni sehem tu ndugu,unadhan ukiwa mtu wa kisiran kila mara na kufoka foka,,anakuuliza kitu unamjib kijeuri unadhan atajua na hamu na hyo sex hata kama unampiga dushe vzr?? Ha ha ha pole sana mwanamke anapenda kubembelezwa kila muda,kusikilizwa,kujaliwa kila wakat,kubembekezwa kama watoto wadogo,,mwanamke ni kama watoto,unapokua karib nae na kumbembeleza mara mara anakupenda zaid,gubu lako peleka kwa michepuko kimboka pale unalipa na kusepa..lakin mke unaishi nae kwa akili sana.

Sometime wanakera lakin chukulia kero yake ni changamoto kwako,,anaweza kukuuliza kitu mpka ukaona duuuh huyu ni mtoto au mtu mzima? Shuka mnayojifunikia anaweza kukuliza hiv baba fulan shuka hii inatutosha kweli kujifunika wawili? Just imagine ni mkeo,na mnatumia shuka hyo mara kwa mara na anakuuliza hvyo ukiwa na hasira zako ulizotoka nazo kuangalia mpira na timu yako imefungwa unadhan utamjibu nn huyo??utaona kam anakuchora tu lakin ukimjibu kwa upole na kumuelewesha anaridhika na kukuamini zaid. Mwanamke sio chombo cha starehe,mwanamke ni msaidizi wa maisha yako usimchukulie poa hata kddgo
 
Sasa utaachaje kumpiga mwanamke nawewe?

Mweke Ngeu angalau mbili kwa wiki.

Usipompiga nani ampige sasa?

Kupiga mke ni sunnah katika ndoa..[emoji12]
Kakaa hyo sunna umeipata ktk kitabu gan au mtume han alifanya hvyo ikiw huyo nabii muhammad nasikia mkwew alikuja kuamua kesi yao mwanae akapaza saut alimpga kofi lkn muhammad kamtetea mkewe japo kasa la mke lkn hakutaka apigwe na baba yake kaka mambo ya din yaache ktk din na haya ya kijinga tuyajadir kijinga jinga tusifurahishe watu kumkerehesha mungu mungu huwa ajui kitu matan wala mzaha
 
Unadhan mwanamke anataka sex tu?? Ha ha ha nakuombea upate mke ujue mwanamke anapenda nn,,sex ni sehem tu ndugu,unadhan ukiwa mtu wa kisiran kila mara na kufoka foka,,anakuuliza kitu unamjib kijeuri unadhan atajua na hamu na hyo sex hata kama unampiga dushe vzr?? Ha ha ha pole sana mwanamke anapenda kubembelezwa kila muda,kusikilizwa,kujaliwa kila wakat,kubembekezwa kama watoto wadogo,,mwanamke ni kama watoto,unapokua karib nae na kumbembeleza mara mara anakupenda zaid,gubu lako peleka kwa michepuko kimboka pale unalipa na kusepa..lakin mke unaishi nae kwa akili sana.

Sometime wanakera lakin chukulia kero yake ni changamoto kwako,,anaweza kukuuliza kitu mpka ukaona duuuh huyu ni mtoto au mtu mzima? Shuka mnayojifunikia anaweza kukuliza hiv baba fulan shuka hii inatutosha kweli kujifunika wawili? Just imagine ni mkeo,na mnatumia shuka hyo mara kwa mara na anakuuliza hvyo ukiwa na hasira zako ulizotoka nazo kuangalia mpira na timu yako imefungwa unadhan utamjibu nn huyo??utaona kam anakuchora tu lakin ukimjibu kwa upole na kumuelewesha anaridhika na kukuamini zaid. Mwanamke sio chombo cha starehe,mwanamke ni msaidizi wa maisha yako usimchukulie poa hata kddgo

Hayo yote uliyoyataja ndiyo Sex yenyewe hiyo, Mapenzi, kama unampa Sex fresh inatatua tatizo kwa kiasi kikubwa sana na atakupa full respect!
 
Wanawake wangekua ni wa kupiga hivyo basi wazazi wetu wasingekua pamoja mpaka sasa mkikosana kaen pamoja mueleweshane hayo ndo mapenzi alafu wanamme na sisi tuna maudhi sana unamwacha mkeo ndani unaenda kucheki mechi unarudi saaa 7 usiku alafu nawe unasema wanawake wana maudhi ww yako huyaoni hakuna mtu naemheshimu kama mwanamke maana wanavumilia mengi sana.ata ndoa za kitanzania nyingi unakuta mwanamme anachepuka na mwanamke akijua zaidi zaidi atamuonya yule mwanamke aachane na mke wake lakini kwa mwanamme apo ni tifu la kufa mtu na talaka apo apo.WANAWAKE WAVUMILIVU SANA MUNGU WABARIKI WANAWAKE WOTE DUNIANI .naumia sana nikiona mwanamme anashabikia kumpiga mwanamke
 
Unampiga au mnapigana?

Sema kupigana na mwanamke ni ukatili sio et kumpiga mwanamke... wanawake live unapiga au mnadundana?

Mimi naona zingekuwepo ndoa za mkataba kama nyumba za kupanga mkataba ukiisha una hiari ya kuongeza mkataba au kuhama...
 
Nilimpiga mpnz wangu alikuwa kwangu siku iyo,

Kitokana na mambo aliyokuw a akiyafanya nilikuwa nakerekwa sana na mimi nna uwezo wa kujishusha sana tu lakini hakuwa akinielewa nilmpiga vibao,nilimchapa na mkanda akawa ameiva
Alichukua vitu vyake akaondoka
Lakini roo iliniuma sana nilijilaumu kufanya vile, nilimuonea huruma
Nilimpigia simu siku yapili nikamuomba samahani kwa namna zote
Nilitumia kama masaa mawili kuongea nae alinielewa kesho yake alikuja kwangu nilimnunulia dawa na mengine yakaendelea

Ila mpaka leo huwa najuta kufanya vile na nikikumbuka huwa somtym hata simu nampigia namuomba tena samahani

Sitakuja kumpiga tena mpenzi au mke
 
Magufuli wa enzi za kampeni za uchaguzi mkuu Oct 2105 ndiye magufuli baada ya uchaguzi 2017?

Tofautisha kua mgombea na kua na madaraka, kama hujaelewa tofauti ya demu na mke angalia huo mfano wa mgombea na mtu mwenye madaraka

Asikudanganye mtu Sex inatatua matatizo kwenye mahusiano Mwanamke kama unamridhisha fresh atakupa respect tu!
Angalia hapa kuna Wanawake kabla haujamuoa alikuwa na boyfriend ambaye kwa sababu zisizozuilika ikabidi waachane lkn jamaa alikuwa akimpa Sex fresh na kumfikisha shori, sasa wewe unakutana naye na kumuoa hlf mwaka mzima haujawahi kumfikisha kwa nini asikuzingue? Ni lazima kwa maana atakuwa anamkubuka ex boyfriend na hivyo kuondoa attention kwako!

Hivyo Dawa ni kuongeza game tu!
 
Ukiona Mwanamke anakuzingua ujue anaona hauko vizuri kitandani, Wanaume tunaooiga Dusche fresh hatujawahi kupiga Mwanamke wala kudharauliwa kwanza ndiyo tunapendwa!

Usiombe yakakukuta mkuu... endelea na moyo huyo... na kuhusu uwezo wangu kitandani..... ondoa shaka.
 
Inamana hadi unaamua kukaa naye huyo mwanamke hujajua tu kama hana maadili. Punguzeni hizo tabia kwa sababu hata wewe mwenyewe hapo ulipo mapungufu unayo ila anakuvumilia.
Kwanza mpaka afikie kuwa na mawazo mgando hivyo basi hata yeye hana maadili. Kwahiyo wamekutana wa kufanana.
 
Povuuuuuu!!

Nani kaongea kuhusu ngono?! [emoji23]
Wewe acha ujinga wewe....mbona unakomaa na ujinga ujinga hivyo?. Ndo maana ma-single mother wamekuwa wengi now days kwaajili ya fikra za kishamba zako. Eti mahakaman Mara oooh ataondoka na shuka tu sijui atatimiziwa na wengine yaan umeongea upumbavu wa kiwango cha juu. Mtii mumeo that's all maana hata ukienda kwa nwingine utakula kichapo na utaachwa hivyo hivyo
 
Hayo yote uliyoyataja ndiyo Sex yenyewe hiyo, Mapenzi, kama unampa Sex fresh inatatua tatizo kwa kiasi kikubwa sana na atakupa full respect!
Naiman bado hujajua mapenzi na upendo,,unachanganya vtu viwili kwa kuiaminisha akili yako iamini sex ni mapenz... Unaweza kupewa sex lakin usipendwe,sex sio kigezo cha kupendwa ni tendo tu la kumjua mwenzi wako
 
Asikudanganye mtu Sex inatatua matatizo kwenye mahusiano Mwanamke kama unamridhisha fresh atakupa respect tu!
Angalia hapa kuna Wanawake kabla haujamuoa alikuwa na boyfriend ambaye kwa sababu zisizozuilika ikabidi waachane lkn jamaa alikuwa akimpa Sex fresh na kumfikisha shori, sasa wewe unakutana naye na kumuoa hlf mwaka mzima haujawahi kumfikisha kwa nini asikuzingue? Ni lazima kwa maana atakuwa anamkubuka ex boyfriend na hivyo kuondoa attention kwako!

Hivyo Dawa ni kuongeza game tu!
Ngono ni sehemu ya ndoa, sio sehemu kubwa kama unavyodhani.
Ingekua sehemu kubwa basi wanawake wasingelilia ndoa kila siku wanaomba kuolewa maana kama ni ngono hata bila ndoa ngono wanaipata daily.
Wewe oa kwanza ndio utajua tofauti ya demu na mke.
 
Naiman bado hujajua mapenzi na upendo,,unachanganya vtu viwili kwa kuiaminisha akili yako iamini sex ni mapenz... Unaweza kupewa sex lakin usipendwe,sex sio kigezo cha kupendwa ni tendo tu la kumjua mwenzi wako

Vyovyote vile unavyotaka kuphilosofia lkn bila Sex fresh hakuna Upendo hasa kwa upande wa Mwanamke!
 
Back
Top Bottom