Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,185
- 27,098
Nilijua uko huko kwa wazungu nitumie fursa[emoji6]Hapana siishi nao inna

Kuhamasisha watu wawapige wake zaoHapo ujinga ni upi?
pigaaaa tu halafu wasiopiga watakusaidia kubembeleza na kupiga msasa wa hatari.......Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku hizi wamekuwa na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafadhari tusiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::
Habar wakuu.

Huo si ujingaKuhamasisha watu wawapige wake zao
Achana na mapenzi ya kwenye muvi wewe.siku hz mwanamke hapigwi mkuu... anaonywa kwa maneno matamu tena yasiyomfanya ajisikie vibaya sana... na pia unaangalia chanzo cha yeye kufanya hivyo... msipoelewana hapo ni kumwacha aende kwao.. kumpiga sio solution..!!!!
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku hizi wamekuwa na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafadhari tusiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::
kwan ukimwambia kwa maneno hatakusikia mpaka umpe makofi mtapisho!!!!Achana na mapenzi ya kwenye muvi wewe.
Kumrudisha mama watoto kwa mstari vibao vya mashavu ni nyenzo muhimu Sana.
Acha uzushi wewe.Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.
Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.