Umeongea kipuuzi kweli. Hebu irudie comment yako uisome tena. Wewe unadhani kupigwa ni kwasababu ya ngono tu? Akili yako inawaza ujinga tu. Jenga hoja.Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.
Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
Povuuuuuu!!Umeongea kipuuzi kweli. Hebu irudie comment yako uisome tena. Wewe unadhani kupigwa ni kwasababu ya ngono tu? Akili yako inawaza ujinga tu. Jenga hoja.
Pia siyo kila mtu ni ignorant of law. Huyo alopigwa ndo atarudi kwao na bakuli au kikoi chake na mtandio wake
Umeongea vizuri ila hilo la kusimamia show nje jitafakari zaidi haiendani na maelezo yako umejishushaWewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.
Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
We akili yako ya kushikiwa na wanawakeWewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.
Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
Umeoa? Au una mke?Kupiga mwanamke ni kosa na ni ujinga, dhana ya kupiga ni kumpa mtu maumivu ili aogope maumivu na asifanye makosa, hiki kitendo hakipaswi kufanya kwa mtu mzima. Kama hafai, mwache!
Umeoa? Au una mke?
Isijekua huna ndoa na hujui maudhi ya ndoa ndo maana unasema kirahisi muache aende