Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,824
- 59,437
Would you be HAPPY, PISSED OFF or FREAKED OUT if your man or your lady was to give you a surprise visit?
Yani mko kwenye simu anakwambia anavyokumiss ila tu umbali/shughuli ndio zinamzuia kuwa na wewe kwa wakati ule iwe ni jioni umemwambia uko nyumbani, mchana umemwambia unapata lunch kwenye kagenge/restaurant mnayopendaga kwenda pamoja au muda wa kutoka kazini ndio unakusanya makorokoro yako uelekee nyumbani. Ghafla mtu anagonga unaenda kufungua unamkuta, restaurant mtu anakushika bega au ofisini unasikia mtu kafunga/fungua mlango ukigeuka nyuma unakuta ni yeye. Reaction yako ya kikweli kweli itakuwaje?