Surpriiiiiiise. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,695
58,770
Would you be HAPPY, PISSED OFF or FREAKED OUT if your man or your lady was to give you a surprise visit?

Yani mko kwenye simu anakwambia anavyokumiss ila tu umbali/shughuli ndio zinamzuia kuwa na wewe kwa wakati ule iwe ni jioni umemwambia uko nyumbani, mchana umemwambia unapata lunch kwenye kagenge/restaurant mnayopendaga kwenda pamoja au muda wa kutoka kazini ndio unakusanya makorokoro yako uelekee nyumbani. Ghafla mtu anagonga unaenda kufungua unamkuta, restaurant mtu anakushika bega au ofisini unasikia mtu kafunga/fungua mlango ukigeuka nyuma unakuta ni yeye. Reaction yako ya kikweli kweli itakuwaje?
 
nitagomba..sitaki suprise za aina hiyo..kama ana nyingine apotezee,vipi akinikuta na nyumba ndogo? Inabidi kuheshimu ratiba.
 
Hahaha! Ukiona mtu hapendi surprise ujue kuna kinachofichwa. Well, I will keep surprising him hata kama hataki coz I'm never afraid to face the demons! And I lov surprises!
 
Pole sana , ukweli ndio huo sometimes ukimjua mpenzi wako yupo vipi bora usiwe unamstukiza kama unampenda.

hahaha Maundumula mie niliamini siku zote ni mtu mmoja mtaratibu na mwenye heshima kubwa ..
Lakini wakati mwingine naona kama mungu huwa anakufunulia bwana
 
suprise ni ngumu kuisahau maishani! kama unataka mtu akikumbuke hicho umemuandalia fanya bonge la surprise kwake! gharama ni kitu kingine na surprise ni issue nyingine!
 
Ninapenda kufanyiwa surprise kwa sababu sina cha kuficha, lakini sipendi kumfanyia mtu kwa sababu ya kuheshimu "privacy" yake, na kuogopa kuwa surprised kwa surprise yangu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom