Surpriiiiiiise. . .

Mh uko kama mm, ww nisuprise haina shida lkn mie mh aku sipend! mapenzi ya kibongo nouma utajuta. yan unafanya suprise uku moyo wako unaenda mbio na presha juu kisa? no tnx i jus cant aisee.
Usiogope bana...lol
 
vArPStyKJxrzAqR5AtBjFW80gamesfree_ca_surprises-are-not-always-good.jpg


Hahahahaha!!! Lol....
 
Mazingira mazuri nikiwa nyumbani na wale anaowapenda au ofisini au popote pale ambapo mimi niko comfortable...mabaya kama niko na watu asiowakubali au asiopenda niwe nao mahali asipopakubali.....!
Nimekusoma dearest!!
 
Hahaahha. .
Hapo hata kama mliachana/mtaachana kwa ugomvi hutokaa umsahau kwa hilo. Mpaka raha.

@MammaMia nimekusoma babaangu!!

alicheza karata ya ukweli, uh saiv ni historia tu.
Usinicheke basi, afu umefail somo la ku-connect the dots lol
 
Would you be HAPPY, PISSED OFF or FREAKED OUT if your man or your lady was to give you a surprise visit?

Yani mko kwenye simu anakwambia anavyokumiss ila tu umbali/shughuli ndio zinamzuia kuwa na wewe kwa wakati ule iwe ni jioni umemwambia uko nyumbani, mchana umemwambia unapata lunch kwenye kagenge/restaurant mnayopendaga kwenda pamoja au muda wa kutoka kazini ndio unakusanya makorokoro yako uelekee nyumbani. Ghafla mtu anagonga unaenda kufungua unamkuta, restaurant mtu anakushika bega au ofisini unasikia mtu kafunga/fungua mlango ukigeuka nyuma unakuta ni yeye. Reaction yako ya kikweli kweli itakuwaje?

tamthilia za Kifilipino bwana?
Wakitoka hapo wanakuonesha shoga maarufu...
 
alicheza karata ya ukweli, uh saiv ni historia tu.
Usinicheke basi, afu umefail somo la ku-connect the dots lol

Kwanzia siku ile aisee naconnect kimya kimya. . .hamna haja ya kupiga kelele.

Heheh sijakicheka bwana ila nimefurahi kwa niaba.
 
Kwanzia siku ile aisee naconnect kimya kimya. . .hamna haja ya kupiga kelele.

Heheh sijakicheka bwana ila nimefurahi kwa niaba.

nlisahau kama we "mbea"
husahau kitu!
Kwa niaba ya nani??
Pia kuna ile ishu inanikereketa jamani, mbona unanifanyia hivyo?
 
nlisahau kama we "mbea"
husahau kitu!
Kwa niaba ya nani??
Pia kuna ile ishu inanikereketa jamani, mbona unanifanyia hivyo?

Aka mi si mmbea babu ehhhh!!

Hhmm kwa niaba yako wewe, just incase wewe umeshindwa. Hehehehe gani tena na wewe? Sema nifanikishe.
 
ndo najaribu kufikiria......
natoka kimasomaso naenda kufanya surprise.......inageuka fumanizi.....
nshawahi ona hiyo....so nilijifunza.........


surprise zingine hazifai hizi acha tu tuzione kwenye tamthilia za kina Juan Manuel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom