Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Mimi napenda nifanyiwe surprise, na nafurahia sana.................... ila sitaki kumfanyia mtu surprise ya kwenda bila taarifa, naishia surprise za zawadi na kuandaa sehemu nzuri kwa matukio mbali mbali