Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee.

Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna mpumbavu ambaye tutamuacha salama kwenye fagio linalokuja msajiri ni mpumbavu anatumika kuhujumu nchi yetu.
 
Anayetafutwa hapo ni Lissu huyo Iipulipu ni kanyaboya tuu
 
Tunapata shida sana sisi wazazi tunapo ulizwa maswala ya serikali na watoto wetu maana mtoto mpaka anafika anasema ila baba mmelea sana upumbavu enzi zenu ona haya yanayofanyika ..unaishia kuumia moyoni na kujiona ni poyoyo
 
Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee.

Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna mpumbavu ambaye tutamuacha salama kwenye fagio linalokuja msajiri ni mpumbavu anatumika kuhujumu nchi yetu.
Ccm ni sikio la kufa
Lengo ni kufuta chadema

Ni aibu sana kuwa na majaji wapumbavu

Ingawa ni vizuri Watu wajifunze shetani Hana urafiki huyo lipumba alirudishwana huyo mtungi kwenye hiyo nafasi
 
Kama lipumba anawatoa jasho itakuaje Kwa LISSU.... CCM ni wepesi sanaa
 
Anayetafutwa hapo ni Lissu huyo Iipulipu ni kanyaboya tuu
Uko sahihi kabisa. Hata yule Mbowe mdogo na Asenga kuanza kujihusisha tena na CHADEMA (mmoja alijifanya kuomba msamaha) ni mkakati wa kuwarudisha kwa nguvu ili wakitengua, wao ndiyo wapewe chama. Hata watu kama kina Wanje si ajabu wakaanza kujifanya kurudi soon.
 
Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee.

Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna mpumbavu ambaye tutamuacha salama kwenye fagio linalokuja msajiri ni mpumbavu anatumika kuhujumu nchi yetu.
 
Ccm ni sikio la kufa
Lengo ni kufuta chadema

Ni aibu sana kuwa na majaji wapumbavu

Ingawa ni vizuri Watu wajifunze shetani Hana urafiki huyo lipumba alirudishwana huyo mtungi kwenye hiyo nafasi
Kwa hiyo kumbe Lipumba ni kinyago alichokifinyanga Mutungi kwa mikono yake mwenyewe, hivyo hakiwezi kumtisha.

Ni rahisi sana kudestroy kinyago ulichokibhumba mwenyewe.
 
Ningekuwa mimi ni Rais free of speech ingekuwa to the max maana kutoa maoni yajengayo kutoka opposition siyo kosa na haitonifanya mimi kutokuwa Rais au kushindwa kuongoza ,ningechukua mawazo yao na kuyafanyia kazi tu....Kwani katiba mpya ya warioba si ina mambo mazuri tu? Ya nini Mpunge ukae Bungeni miaka 50? Miaka 15 inatosha waje wengine.

Serikali mbili za nini wakati Zanzibar ni nchi huru ina Rais wake kwanini Tanganyika haina Rais? Serikali ziwe Tatu kama ilivyopendekezwa ,Bunge lipunguze wawakilishi ,viti maalumu vifutwe ,Ma DC ,RCs ,DAS ,RAS ni vyeo vyakulipana fadhila viondolewe havina tija....Kila Halmashauri/Manispaa ina wafanyakazi wake wa kufuatili miradi ya maendeleo watumike wao...Tuna maafisa wa maendeleo wa wilaya na wa mikoa nchi nzima.
 
Uko sahihi kabisa. Hata yule Mbowe mdogo na Asenga kuanza kujihusisha tena na CHADEMA (mmoja alijifanya kuomba msamaha) ni mkakati wa kuwarudisha kwa nguvu ili wakitengua, wao ndiyo wapewe chama. Hata watu kama kina Wanje si ajabu wakaanza kujifanya kurudi soon.
Huo mchezo ukifanyika CHADEMA,nadhani CHADEMA haitabaki kama ilivyo sasa mkuu..wenye akili wote wataondoka,Chadema itakuwa kama ilivyokuwa CUF baada ya LIPUMBA kurudishwa kwenye uenyekiti na Maalimu seif akaondoka na Team yake...Cuf ikabaki kama pambo tu mpaka sasa.

Hivyo hata huyo mbowe akirudi leo,asitegemee kama atapata support ya wanachadema wanao jitambua.
 
Ni kweli. Itakufa. Ila CCM na hasa Samia hawana akili za kuona yajayo. Kwao, chochote kinachofanya kazi leo ndiyo hicho hicho. Unaona walivyo na dharau kwa wananchi? Makonda anatembelea msafara wa magari ya kifahari, hata mawaziri wa nchi zinazotupa misaada hawa uwezo huo. Kiburi na ulevi wa madaraka mpaka akili zote zimewatoka. Hawaogopi tena umma. Wanaona walivyoua 29/10, na bado wapo hivyo wanaona hakuna kima atakayethubutu kuleta fyoko.
 
Back
Top Bottom