Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Mwaka 2015, nilikuwa na family friend wangu tulipendana sana. Mwanaume ni mtafiti Kampuni kubwa ya Gesi Mtwara. Familia yake iko mikoani ( Kagera). Huyu baba aliugua akalazwa nikamhudumia mpaka akapona. Kilichofuata mama wa Kihaya akanitumia ujumbe kuwa natembea naye na ninamchuna. Baadaye akaingezea kwa mr wangu kuwa hawara kanijengea nyumba. So sad

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu ndio walimwengu hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchumba havumiliwi. Kwangu ulikuwa uchumba tu Ila wenye mizizi.
Lakini pia haina maana raha na matanuzi afanyiwe mwingine halafu ukichoka ndo unarudi.....sina huo moyo asee. Moyo wangu wa spongy sio wa jiwe

Nilitegemea Jibu Kama ili Kutoka kwa Mwanamke anayejitambua how come Unampokea Mtu Wa Ivyo .
 
Na mimi nilitaka nimuulize vizuri huo ushujaa wa mke wa ndoa ni kumpokea mume ambaye kashajichokea maisha na kuchokwa na bi mdogo au? Hapo unashindwa hata kujua kuwa amerudi kwa mke wa ndoa kwa sababu ni kweli amegundua makosa yake au kwa sababu maisha yamemchapa. Mtu u-fight na kuvumilia mume arudi akiwa bado anadai, sio mtu anajirudisha mwenyewe akiwa apeche alolo mwingine na maradhi juu afu ndo useme umeshinda. Huo ushindi me siutaki khaa

Ubaya Ubaya.
 
Mwaka 2007 nilimaliza mafunzo ya ufundi veta, nikawa nafanya kazi za mtaani mwaka 1 baadae nikakutana name bint mchaga sura nzuri had tabia .

Alitengetengeneza mazingira ya kumpenda na kweli ikawa hivyo.
Mwaka 2009 nilipanga chumba name kutoka Kwa mzee, bahati mbaya nae nyumbani kwao akawa hatakiwi maana alikuwa akiishi kwa baba yake alie Kuwait name mke mwingine.

Nilitafuta sehemu ya kwenda kukaa Kwa ninao wafahamu hatimae nikapata kwa dada 1 akakaa wake.

Ilibidi nizunguke pale mjini kutafuta kazi nilizunguka sana nikapata kampuni ya ukusanyaji wa ushuru maegesho ya Magari.

Miezi 3 baadae dada aliekua akikaa nae alimfukuza ikabidi nikaaongee name mzee wangu akaniruhusu nikakae nae yeye atamalizana na mzazi mwenzake.

Nikabeba mke jioni ya SAA moja jumamosi tarehe 12 mwezi wa 9 2009.

Hapo ndipo kizaa kilipo anza , nilikaa nae miaka mitatu. Ndani ya hio miaka 3 ndipo nilipojua wakati mwingine likuepukalo lina heri ndani yake.

Kwa ufupi Kwa kua alikua amesoma had kidato cha 4 na matokeo mazuri, nilianza kumtafutia college kuanzia ualimu unesi misitu mifugo computer veta kote huko akakosa, hiyo iligarimu mwaka na nusu.

Aliugua kifua kikuuu Kwa muda wa miezi nane ndio alipona, kipindi hiki kidogo kilinipa challenge Kwa kiasi kikubwa.
Miezi minne baadae mama yake mzazi aliugua na kufariki (R I P) hapa napo mziki wake ulikua si haba.

Miezi 3 baada ya hili nilifiwa na mlezi wangu alien nilea toka nikiwa na mwezi 1 hapa napo niliumia mno!

Baada ya haya ilibidi nimtafutie cha kufanya.
Dada mmoja akaniambie anafungua kibanda stand hivyo kama ataweza akakae hapo.
Alinipa kazi ya kutengeneza kibanda maana mimi ni seremala, akanipa hela nikanunue bidhaa ,nilitumia usafiri wa baiskel nilirudi mjini Mara 8 tena bado kidogo nigongwe na lori, mwishowe nikaenda kumchukua yeye mke wangu kuja dukani. Kumbe ndio nampeleke Kwa mume mwingine.

Alianza kurudi nyumban Saa nne tofauti na makubaliano.
Alikuwa akiwasifia watu wengine wanamaendeleo tofauti na Mimi.
Mwishoni akaniambia tuachane!

Kweli aliondoka na mimi nikabaki na maumivu name umaskini.

Miaka minne niliipoteza kwake lakini aliniacha kwenye Mata, na athari alizoniachia mpaka leo sijasimama kimaisha vizuri.
Lakini taarifa nilizonazo yeye yupo safi na nyumba wanayo.

Yote ni maisha name maisha yanaendelea , poleni wakuu Kwa mikasa mliokutana nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msela mavi alifukuzwa kwa dada yake akaniomba hifadhi gheto akae kwa siku tatu, mimi nilikuwa silali huko gheto kwangu enzi hizo naanza kujitegemea kimaisha.
Baadae jamaa kageuka kama mtoto wangu anakuja kuomba hadi hela ya chakula ofisini kwangu.
Miezi haondoki kama alivyosema, hataki kazi ya kuajiriwa niliyomtafutia. Akaanza kuvaa nguo zangu bila ruhusa.
Mwisho wa siku msela mavi kaniibia kila kitu gheto hadi nguo za ndani na personal note books.
Hilo sengerema ni age mate, classmate, lilitaka nililee miaka kama mtoto wangu.
Liliacha kitanda, godoro na fridge tu, liliiba hadi vifaaa vyangu flani nilivyokuwa nimetunza gheto baada ya kufunga biashara yangu sehemu.

Waswahili maneno mengi wale wanakuambia mfadhili mbuzi utakula nyama au mfadhili mbwa anaweza kukulindia nyumba yako, sio binadamu majanga tu..
Yani mkuu mtu ndugu zake wamemshindwa we ukaamua kumsaidia ha ha ha ha ha ha ila pole mkuu mi kuna jamaa yangu tulimaliza nae chuo 2011 akili yake ni ya kipumbavu kama huyo jamaa leo mwaka wa kumi hajatoboa na kaka zake wanauwezo wa kumsaidia ila wanaogopa aibu itawakuta
 
Hii dunia usisaidie bure utakuja kujuta, kama ni binti atoe mzigo kabisa aliwe na kama mwanaume atoe pesa uile au uinywee pombe ili hata wakibadilika hauna maumivu, masuala ya msaada yalikufa kitambo sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole sana mkuu
Btw, bado vijana tunahitaji msaada wako
Naona pm haifanyi kazi
Mwaka huu wakati tukianza mwaka mpya kulikuwa na nafasi za kazi kwenye company yetu. Kama kawaida zilitakiwa zijazwe, niliamua kwa dhati kabisa kutafuta vijana wenye sifa kutoka humu jukwaani (JF).

Mchakato ulifanyika na hatimae nkaajiri vijana watatu kutoka humu humu ambao mmoja alikuwa na experience kidogo na wawili are straight from school wamemaliza pale UDSM 2018. Mmoja yule mwenye experience baada ya muda mchache aliamua kuacha kazi baada ya kuomba salary increment na mimi kukataa hilo ombi kwa sababu haikuwa hata na miezi 4 kazini, kilichoniudhi ni namna alivyoondoka, alidanganya kwamba anaenda kumuangalia mzazi wake mgonjwa, na pia alichukua baadhi ya vifaa vya ofisini. Tulitegemea angekaa na Sisi ila ndio hivyo.

Wa pili kati ya hawa watatu ni kijana mmoja anaetoka kanda ya ziwa. Much know kwa sana, he considers himself the most knowledgeable and best employee out of all we have. Alikuwa akim criticise supervisor wake kwenye staff meeting in front of all other staff. Sio mara moja sio mara mbili. Nidhamu yake ni mbaya sana, alifikia mpaka kumtongoza one of the manager (foreigner) from the same office. At first alikuwa akiniheshimu/kuniogopa mimi tu because he knew I was making the calls. I went out of my way in helping him establish his life, salary ikikata mnamo tarehe 20 I would give him loans or my personal money. Baada ya kurudi one of my trip around August this year supervisor wake akanieleza mashakil yake. Nikaanza kukata all favors alizokuwa akipata from me. Akaona I was no longer a friend to her, I was only a boss at work and nothing more. As long as he could do his job and not insult anyone, everything was okey for me. At last, he had to go, and he had to go himself, what happened mpaka akaondoka mwenyewe sitaki kusema hapa but yeah he had to leave kwa kejeli na dharau na shutma kubwa dhidi yangu. Shutma moja ni kwamba mimi nimemchawia na namfanyia uchawi, usiku akilala ananiona namkaba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sijui why hakumtafuta Mshana Jr hahaahahahahha

Huyu kijana wa tatu bado nipo nae, he is doing good and he is my friend, he loves talking to me about Manchester United and would joke to me about Arsenal. He thinks I am the best boss in the world and may be he is reading this hahahaahahahah.

Sijisifii lakini humu jukwaani nimeshawasaidia watu si chini ya 10 msaada wa maana sio hizi 10,000 au 15,000 ila sasa nimeacha.

Ndio maana the other time nkamwambia Cresida be careful.

cc: SweetieLee and Karma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du pole.natamani kabla ya kufanyiwa hayo ningekutana na wewe mwanzo ukanisaidia.
Uzidi kubarikiwa

Back
Top Bottom