practically ni ngumu mwanaume kuwa na mwanamke mmoja,kama mumeo hachepuki muheshimu sana
Hiki ndo cha muhimu, saidia nenda zako utalipwa mbele huko ila samehe sahau.Mshua wangu aliniambia ktk maisha kuna watu walikusaidia japo hujui wako wapi now kuna mtu alikwambia kasome topic flan ameskia sehem kuna swali na kwel ukapiga B+ so na wewe saidia unapoweza ila usisaidie kwa kutegemea malipo kwa muhisika bali malipo yako ni kwa mwingine na wkt mwingine kama uliensaidia akikukumbuka shukuru..Mshua alisaidia watu wengi sana na kuzulumiwa kazulumiwa sana ila baada ya kufariki na washkaj zake wakawa kama hawatujui hv but thank God blessings zinakuja tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu unasema kuwa..kuna frem...Mmmh!
Majuto nnayojuta mimi..hayaelezeki.
ni mengi..
Mbaya zaidi mpaka ndugu yako pekee tena wa toka nitoke..ndio anakuwa nyuma ya hayo...
Imenipa majeraha na maumivu..ya daima!
Si sote tunaoishi..humu... wengine ni frem. .
Binaadam sisi...kweli tulirithi dhambi ...
Jahhanam hii hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂hutaki mjukuuHouse boy mchungaji nimemtoa Kijijini kusimamia mifugo yangu lakini mwisho wa siku akapiga mimba binti yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂/😢😢😢😢ukipata mwanaume ambae hachepuki mheshimu sanaaaa,sababu anakuwa anaenda kinyume na nature yake kwa ajili yako,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukampaaa???????[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]Mi nashangaa sana sijuhi nini huwa inatokea mi imenikuta sana kwa ndugu zangu wa damu kabisa dada zangu, wao wanategemea mimi tu ndo nifanye kwao ikifika kwangu wanamute kama hawaoni.
Kisa cha hivi karibuni alikuja dada mmoja jirani yetu kumuomba wife amuhazime 30k wakati anajua kabisa mi sijatokea kazini takribani 3 months, tukaona isiwe tabu ujirani mwema tukamuazima baada ya mda akarudisha, sasa ikafika kipindi dishi letu likazingua na wao wanalo la ziada la azam hawalitumii, tukaenda kuazima kwa mda tukiwa tumeagiza letu mme wake akagoma na mwanamke akasingizia mme wake ndo kakatazia, tukasema sawa baada ya siku mbili dish letu likawasili tukaendelea kama kawa.
Haukupita hata mwezi yule dada akapatwa na shida hapo ndo nilishangaa mbio mbio kaja tena kwetu amesahau anaomba tumuazime 50k,kweli binadamu sio watu.
mkuu hujui tu role played by michepuko basi tu ngoja niishie apaSasa jamani si Bora tu nioe mke wa pili kuliko kuchepuka kusiko kwa madharau??
By the way, wanaume inabidi tujifunze kuwa na heshima kwa wenzi wetu, mtu ukizidiwa usichepuke kwa madharau
kabisaNdugu Relief Mirzska Inaonekana Cresida ndo kabaki kazini, Hawa kina SweetieLee na Karma inaoneka ndio waliozingua kazi.
Kwa jinsi nilivyounganisha dots
Dunia ngumu Sana wakati watu tunatafuta connection+ watu wanazid kupunguza
Tulimpotezea.
Nzuri sanaaa alafu ilibdi utoe wallet uhesabu mpunga mrefu umtume mtotoTulimpotezea.
Sawa mkuumkuu hujui tu role played by michepuko basi tu ngoja niishie apa
😂😂😂😂Hii dunia usisaidie bure utakuja kujuta, kama ni binti atoe mzigo kabisa aliwe na kama mwanaume atoe pesa uile au uinywee pombe ili hata wakibadilika hauna maumivu, masuala ya msaada yalikufa kitambo sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
mengine hayaelezeki mkuu unaweza kuta unafukua makaburi buree kama masihala ivi ani wanaume tumeumbiwa mateso na wanawake sometimes huvuruga kila kituSawa mkuu
Na nyie mkampa?????Mi nashangaa sana sijuhi nini huwa inatokea mi imenikuta sana kwa ndugu zangu wa damu kabisa dada zangu, wao wanategemea mimi tu ndo nifanye kwao ikifika kwangu wanamute kama hawaoni.

Tulimpotezea