Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Nimejeruhiwa sana kwa mambo ya kuamini watu kiasi naona kama kila mtz ni mwizi tu. Tena hii ni bila kujali ni mtu wa kijiweni au wa ofisini.

Watz wanakuwa waaminifu akiwa hajapata, akipata ndo utamtambua kwa rangi zake zote.

Ukitaka kuwa salama kuwa na tahadhali na kila unayefanyanae dili bila kujali huyo mtu ni nani, hata awe shehe au padre.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa mkuu

Aisee, sijui hata nianzie wapi, nimelizwa sana kwa kujidai najua kuangalia matatizo ya watu. Mpaka muda huu napitia crisis kubwa kiuchumi, na hakuna wa kumwambia akaweza kunisaidia.......... Inanisumbua sana, nashindwa hata kuandika, ila Mungu anajua, nimemuachia yeye.
pole sana
 
Pole sana mkuu,usimuombee mabaya mkuu.......ila nawe muombe mungu uwe na maisha mazuri zaidi
Mwaka 2007 nilimaliza mafunzo ya ufundi veta, nikawa nafanya kazi za mtaani mwaka 1 baadae nikakutana name bint mchaga sura nzuri had tabia .

Alitengetengeneza mazingira ya kumpenda na kweli ikawa hivyo.
Mwaka 2009 nilipanga chumba name kutoka Kwa mzee, bahati mbaya nae nyumbani kwao akawa hatakiwi maana alikuwa akiishi kwa baba yake alie Kuwait name mke mwingine.

Nilitafuta sehemu ya kwenda kukaa Kwa ninao wafahamu hatimae nikapata kwa dada 1 akakaa wake.

Ilibidi nizunguke pale mjini kutafuta kazi nilizunguka sana nikapata kampuni ya ukusanyaji wa ushuru maegesho ya Magari.

Miezi 3 baadae dada aliekua akikaa nae alimfukuza ikabidi nikaaongee name mzee wangu akaniruhusu nikakae nae yeye atamalizana na mzazi mwenzake.

Nikabeba mke jioni ya SAA moja jumamosi tarehe 12 mwezi wa 9 2009.

Hapo ndipo kizaa kilipo anza , nilikaa nae miaka mitatu. Ndani ya hio miaka 3 ndipo nilipojua wakati mwingine likuepukalo lina heri ndani yake.

Kwa ufupi Kwa kua alikua amesoma had kidato cha 4 na matokeo mazuri, nilianza kumtafutia college kuanzia ualimu unesi misitu mifugo computer veta kote huko akakosa, hiyo iligarimu mwaka na nusu.

Aliugua kifua kikuuu Kwa muda wa miezi nane ndio alipona, kipindi hiki kidogo kilinipa challenge Kwa kiasi kikubwa.
Miezi minne baadae mama yake mzazi aliugua na kufariki (R I P) hapa napo mziki wake ulikua si haba.

Miezi 3 baada ya hili nilifiwa na mlezi wangu alien nilea toka nikiwa na mwezi 1 hapa napo niliumia mno!

Baada ya haya ilibidi nimtafutie cha kufanya.
Dada mmoja akaniambie anafungua kibanda stand hivyo kama ataweza akakae hapo.
Alinipa kazi ya kutengeneza kibanda maana mimi ni seremala, akanipa hela nikanunue bidhaa ,nilitumia usafiri wa baiskel nilirudi mjini Mara 8 tena bado kidogo nigongwe na lori, mwishowe nikaenda kumchukua yeye mke wangu kuja dukani. Kumbe ndio nampeleke Kwa mume mwingine.

Alianza kurudi nyumban Saa nne tofauti na makubaliano.
Alikuwa akiwasifia watu wengine wanamaendeleo tofauti na Mimi.
Mwishoni akaniambia tuachane!

Kweli aliondoka na mimi nikabaki na maumivu name umaskini.

Miaka minne niliipoteza kwake lakini aliniacha kwenye Mata, na athari alizoniachia mpaka leo sijasimama kimaisha vizuri.
Lakini taarifa nilizonazo yeye yupo safi na nyumba wanayo.

Yote ni maisha name maisha yanaendelea , poleni wakuu Kwa mikasa mliokutana nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Miaka ya 2007 nilimnunulia ndugu wa mbali gari ili aitumie kama taxi lengo kuu ni kuisaidia familia ya kwao maana walikuwa na hali ya chini sana kiuchumi. Tulikubaliana kiasi fulani kiwekwe bank kwa ajili ya running costs kama insurance n.k. alifanya kwa miezi tu baadae nilipohoji kidogo nifungwe maana hata card ya gari alishabadilisha jina kwenda la kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hatari sana.

Huyo ndugu kwa sasa anaishi vipi?
Je! Mna mawasiliano kama kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimpenda kutoka moyoni mwangu nikajishusha mnoo, nikambadilisha kutoka kuwa mchafu mchafu hadi akawa mtu anayejua japo kuoga......maisha yake yalikuwa ya kijima kiasi kwamba hata akiwa na hela bado ni wale watanunua andazi la stend na kunywa na juice zile wanapitia ha bila kujali usafi... Sikutaka ionekane kwamba mwanamke ukiwa umemzidi ME elimu na exposure basi mahusiano hayawezekani. Mwanzo I ilikuwa ngumu lakini badae nikajikuta nshampenda na watu hawakuamini Kama tumeweza kuwa pamoja kwa kipindi kirefu. Kifupi nilikuwa deeply in love.
Siku zote watu watakunyima hela na chakula Ila hawawezi kukunyima neno. Wao walijua ni nini alikuwa anafanya Huko nje wakawa wanaongea mwisho waliopoona siwasikilizi wakanyamaza.

Mwisho nikaja kugundua hakustahili mapenzi yangu na alikuwa zaidi ya nilivyodhani kwa mambo ya ajabu aliyokuwa anafanya. Niliamua kulipa kibinadamu Ila mwisho nikaamua kumuachia Mungu anilipie.

Binafsi naona matajiri wapendane wao kwa wao, maskini wapendane wao kwa wao, wasomi wapendane wao kwa wao na wasio na elimu wapendane wao kwa wao. Maana unaweza ukawa na nia nzuri Ila unayempenda a siamini Kama inaweza kana. Haya mambo sijui ya true love tuwaachie wazungu.
Hii bahati kwann isinidondokee mimi jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli yanatiukuta wengi.
Ninaowadai sijui wanajua kuna hela nyingi upande huu hawarudishi, ndugu na marafiki kabisa. Ni mwendo wakua kauzu tu siku hizi zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani hapa nilijifunza sana kutoka kwa kusikia stori za watu. Nikasema sikopeshi mtu pesa ambayo ikipotea itaniuma. Kwa ndugu sikopeshi kabisa nakupa tu robo ya kiwango ulichoomba au chini yake kulingana na nitavyojisikia siku hiyo. Sasa siku moja jamaa flani peace sana nilisoma nae akaomba nimkopeshe 300k anirudishie baada ya wiki 3. Sijui ni nini kiliniingia siku hiyo nikaamini katika wema wa binadamu nikamtumia. Ilikuwa May mwaka 2019 ndio mpaka leo aisee. Nilikuwa namfuatilia ila akawa ananipa majibu ya niko site mkoa na kadhalika halafu siku nikaona yuko kwenye harusi ya mshkaji mwingine ambae yuko Dar. Ni kalenda tu mpaka leo. Mpaka sasa nina kama miezi 2 sijamtafuta kwa kuwa hiyo 300k nilishajiandaa kuipoteza so hainipi mawazo ila nimejifunza kubwa sana. Hata wale ambao unadhani wema wanaweza kuwa wazushi tu hivyo kila mtu ni kujiangalia mwenyewe. Na ukiamua kusaidia pesa kwa ndugu na marafiki basi toa tu msaada usikope maana inaweza kuwa mwisho wa mahusiano yenu
 
Kuna msela mavi alifukuzwa kwa dada yake akaniomba hifadhi gheto akae kwa siku tatu, mimi nilikuwa silali huko gheto kwangu enzi hizo naanza kujitegemea kimaisha.
Baadae jamaa kageuka kama mtoto wangu anakuja kuomba hadi hela ya chakula ofisini kwangu.
Miezi haondoki kama alivyosema, hataki kazi ya kuajiriwa niliyomtafutia. Akaanza kuvaa nguo zangu bila ruhusa.
Mwisho wa siku msela mavi kaniibia kila kitu gheto hadi nguo za ndani na personal note books.
Hilo sengerema ni age mate, classmate, lilitaka nililee miaka kama mtoto wangu.
Liliacha kitanda, godoro na fridge tu, liliiba hadi vifaaa vyangu flani nilivyokuwa nimetunza gheto baada ya kufunga biashara yangu sehemu.

Waswahili maneno mengi wale wanakuambia mfadhili mbuzi utakula nyama au mfadhili mbwa anaweza kukulindia nyumba yako, sio binadamu majanga tu.
...hapa mkuu ninaamini kuwa ni wewe uliyekosea. Wema Usizidi Uwezo.
Ulipaswa kuwa mkali alipoanza tu kuvaa nguo zako bila ruksa!....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relief Mirzska,

Duh pole Mkuu..

Nilichojifunza ni kuwa ukiwa na roho nzuri sana daima hutoendelea, mi nilifungua ofisi ya welding Kigamboni and invested 2mil.. Alinifata jamaa ambaye anakaa karibu na Shemeji yangu (mke wa bro)

I gave that person 2mil, ambayo ilitosha kununua mashine 3 (grender, driller and cutter) jamaa cjui ilikuwaje nikamuamini kiasi kile, shida ikaja kwenye receipt za mashine ukizingatia nilikuambia ahakikishe ananua vyote dukani na alete receipts.

Mpaka tunapozungumza jamaa nimekuwa adui mkubwa Sana kwake, mashine anadai alinunua kwa mtu, nikamwuliza with whose permission!?

Out of 2mil, kanunua cutter 400k (ambayo alinambia kanunua 850k), drill machine 150k, grender it's nearly 3months now haijafika kwa madai aliyemtumia pesa yuko Zanzibar na hapatikani.

Inaenda miezi 3 na ofisi hajanipa hata kumi, awali nilidhani ni ugumu wa kazi ila kufuatilia nikagundua alifanya kazi ya msikiti akalipwa 700k, akafanya nyingine akalipwa 1.5m, and the last 1.2m, aisee nilishikwa na hasira mpaka kidogo pressure inipande.

Baada ya kuanza kufuatilia jamaa akaanza kuhamisha kazi anafanyia kwingine sababu pale ofcn nimeweka msimamizi na anambana,, kiukweli ninajuta sana.

Jana nimembana mpaka ndugu zake wameamua wauze kiwanja wanipe pesa yangu maana kiukweli nilikuwa namfunga, analia kama mtoto mdogo, mbaya pesa yangu ndo kaolea Nov 2019 mwishoni, yaani nikikumbuka mpaka roho inaniuma.

Ila nimeamua wanilipe maana walitaka wanipe kiwanja nikakataa, kwa hasira nilizonazo hazielezeki ila hakika Mungu atamlipa kabisa, tena naomba amlipe kabisa
Aisee binadam kweli mbaya sana.

Mtu alkua si chochote si lolote umemuinua anaanzaa akukugeuka akumeze. Pole sana.
 
waswahili wakipata upenyo wanautumia vizuri yaani mpaka akaoa kabisa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom