Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

"Wizarani" na "wizara ya mambo ya ndani" nahisi hujamwelewa ama hujaelewa.. kuna tofaut hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wizara ya mambo ya ndani kwamba huyo jamaa ni mpishi labda...!! Hivi mtu akikuambia nafanya kazi wizara ya afya na mwingine akasema nafanya kazi ya Udkatari unadhani watakuwa sawa???maana udaktari ni kazi iliyopo chini ya wizara ya afya but mtu akispecify kwa kusema wizara flani means yupo wizarani kabisa ndo maana bidada akapagawaa... Kumbe ukute jamaa ni mpishi pale wizaraniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo moja ya senene ni zaidi ya laki tano,labda kama siyo mjuzi kwenye hii biashara! Sidhani kama nimeenda nje ya mada
Toka 2015 nadai laki 5 haki nilipitia kipindi kibaya sana kicuhumi lakini mdai wangu hata 30,000 hajantumia naona anapost biashara zake tu juzi, kuna siku akapost senene ndoo anauza.
Nikamfata nikamuambia basi naonba nitumie ndoo moja ya senene nitafune nipunguze machungu hakunijibu.
Imagine ndoo moja ya senene kwa laki 5

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda maana mimi nilikuwa naletewa viroba vya senene bure kabisa.
Lakini point yangu ililuwa aniletee senene hata kibaba tu nile nitafune maana mtu aliyeluwa ananiletea mtambo wake umeharibila na yeye kahama eneo hilo
Ndo moja ya senene ni zaidi ya laki tano,labda kama siyo mjuzi kwenye hii biashara! Sidhani kama nimeenda nje ya mada

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya kwangu
Nilikuwa naishi Bukoba mjini baada ya kumaliza chuo miaka mitano iliyopita,Baada ya pale nikaamia kikazi mkoa wa Iringa ikabidi nisiamishe vitu vyangu ukizingatia umbali kutoka Bukoba mpaka Iringa,Kuna jamaa yangu nilisoma nae Advance na chuo tulikuwa kimoja ila course tofauti,Nikampigia simu kuna vitu vyangu kama vipi anitunzie akasema tena vitamsaidia sana.Mwaka jana nikataka kuviuza,hapo ndo tatizo lilianzia,napiga simu hapokei ili mteja akavione,Mpaka ninavyoongea jamaa hapokei simu zangu na sijui kama bado vitu vyangu anavyo kwani naskia sku hizi kaamia morogoro kwenye harakati za kutafuta maisha.Ni miongoni mwa washikaji niliokuwa naheshimiana nao sana!
Vitu ni vingi sana maana nilimuachia karibia gheto lote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwetu kwetu miongoni mwa vitu ghali na vina hadhi ya juu basi ni senene,Hiyo ndo hela yake laki tano cha mtoto,anyway nimekupata vyema mdada mzuri!
Labda maana mimi nilikuwa naletewa viroba vya senene bure kabisa.
Lakini point yangu ililuwa aniletee senene hata kibaba tu nile nitafune maana mtu aliyeluwa ananiletea mtambo wake umeharibila na yeye kahama eneo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena huna unschikijua.
Na mwanaume ninayempa kipochi manyoya siwezi kumuandika negative humu hata tukiwa tumeachana.
Na hata mwanaume wangu nikimpa hiyo 25 au zaidi siwezi kuandika.
Narudia tena huna unachokijua ingekuwa bora na busara ungeuliza what happened.
Lakini kwa vile wewe ni mpumbavu nakuacha na upumbavu wako maana unachojua wewe mawasiliano ya mwanamke na mwanaume ni kuttiana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana siku nyingine acha tamaa ya pesaa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilimpokea kijana ambaye tulisoma pamoja ila hakuwa rafiki yangu, kupitia rafiki yangu akapewa namba yangu akiripoti kazini anicheki, nikamsaidia na alipaswa kupangiwa kituo kibaya sana huko vijijini. Nilizuia na alipangiwa near Head Office. Alipozoea aliwatumia watu wote niliomtambulisha kunichafua na kuhakikisha anakaa yeye katika kitengo nilichonacho pale HQ. Alifanikiwa kwani nilisimamishwa kazi kwa kutafutiwa kosa, hakunichek ingawa alikuwa na contacts zangu.
Nilimchunguza nikagundua alikuwa snitch sana. Jamaa wakaniambia dogo kakuzunguka anakaa katika kiti chako. Niliumia sana ila nilimchana ila alijibu shit sana. Likaundwa zengwe nitakaporudishwa job niondolewe HQ na walifanikiwa ila niliapa kutoendelea na kazi iwapo HR angefanya hivyo mbele yake HR. HR alipuuza na waliponiandikia barua ckuripoti na kuamua kuondoka eneo la kazi.
Nilipofika mtaani ndugu walifanyia collable ya chuki na dharau hata nilipoumwa hawakunichek licha ya kuwakatia bima za afya ndugu hao nilipokuwa kazini.
Nashukuru Mungu kwa mengi yaliyopita sasa nimepata kazi na ninalipwa mara 2 ya kile nilikuwa nalipwa awali.
Yapo mengi ndugu zangu maana kuna mwanamke pia nilimsaidia kusoma nimuoe ila alipomaliza alinitukana. Kwasasa simuamini mtu, naishi kama Dictator na ndugu wameanza kuniogopa maana kazi nimepata ofisi kubwa ambayo wao hawakuamini na walijua miezi 6 baada ya kuianza licha ya kutokea hapo hapo home.
Walidai nimerogwa mpuuzi nisiye na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom