Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Story: Ulitenda mema na kulipwa mabaya please share

Toka 2015 nadai laki 5 haki nilipitia kipindi kibaya sana kicuhumi lakini mdai wangu hata 30,000 hajantumia naona anapost biashara zake tu juzi, kuna siku akapost senene ndoo anauza.
Nikamfata nikamuambia basi naonba nitumie ndoo moja ya senene nitafune nipunguze machungu hakunijibu.
Imagine ndoo moja ya senene kwa laki 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ndoo ya senene

Pole dada.
 
Na huwezi amini hata kibaba cha senene hajanitumia wala hajajibu, mimi nilishamsamehe deni lakini nilitamani tu senene labda alitaka nintumie hela anitumie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada hizo senene angalau zingekupunguza machungu ila nazo kakunyima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna nini huko PM Relief Mirzska?.
Nisije nikapitwa
Hahaha I am glad umeanza kuwaelewa wazee wa PM, wanavizia usinzie wakudake huko huko PM.
Utasikia kuna mganga anarudisha waliokufa, kama huko interested njoo PM, yani utoto utoto.
 
Mwaka 2015, nilikuwa na family friend wangu tulipendana sana. Mwanaume ni mtafiti Kampuni kubwa ya Gesi Mtwara. Familia yake iko mikoani ( Kagera). Huyu baba aliugua akalazwa nikamhudumia mpaka akapona. Kilichofuata mama wa Kihaya akanitumia ujumbe kuwa natembea na mume wake na ninamchuna. Baadaye akampigia mr wangu kuwa hawara kanijengea nyumba. So sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi kwa sasa msaada ninaoweza kuutoa ni maji ya kunywa na chakula, siyo HELA/PESA anunue maji au chakula, no chakula ale ashibe na maji akate kiu atambae.
Niliishajifunza na sitorudia, na niliishajiona mjinga na fala.

UNASAIDIA WEWE YESU AU MUNGU?!
 
Kusherehekea miaka mingi ya ndoa pasipo amani ya kweli; kwangu haina maana. Hayo mambo ya mwanaume anazaa na wanafunzi sijui ndugu zako; ndo uvumilie tu kisa unataka tu tukuone na wewe ni mwanandoa wa miaka kadhaa mmmh. Afu kusamehe sio issue sana kwangu; my biggest concern ni hiyo ya mtu kurudi kwa mke akiwa kajichokea. Ni ameomba msamaha kwa sababu amejutia makosa yako kweli au circumstances zimemforce arudi kwa mvumilia shida wake. Kesho na kesho kutwa mambo yakianza kuwa vizuri akatafute tena wa kuspend nao aaaah weee

Hiyo ya mwanaume sio wa mke mmoja, nawaachia nyie mnaoamini.
Amani ya ukweli unamaanisha nini dada? You will never find that kind of staff among people,only exist between God and people. Hizi stori za upendo wa ukweli,amani ya ukweli vinawachanganya sana
 
Amani ya ukweli unamaanisha nini dada? You will never find that kind of staff among people,only exist between God and people. Hizi stori za upendo wa ukweli,amani ya ukweli vinawachanganya sana
If you have never experienced love or peace between you and other people; then i'm saving my energy. I'm grateful btw; Mungu akupe kibali na wewe
 
Back
Top Bottom