Wewe ndio hujasoma vizuri katiba ya tanzania. nafasi ya spika inaweza kugombewa na mtanzania yeyote yule ila awe na chama kinachomdhamini. ndio maana marehemu Samwel Sitta aligombea uspika japokuwa alishastaafu ubunge, pia mabere marando aligombea kwa tiketi ya chademaVijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Unaendelea kunengua sababu huna majibu. Kata tu.Kwa maswali ya mihemko?
Experience ya huko huwezi kunitumia hapa bunge la Dodoma. Mazingira tofauti, siasa tofauti hata wabunge wenyewe tofauti. Huku kuna Dr Msukuma, Bulaya, Gwaji boy, Kibajaji nk.Anafaa..katumia bunge kubwa afrika...ana uwezo na experience ya kutosha.
#MaendeleoHayanaChama
Hafai hata kuwa kiongozi wa waganga wa kienyeji! Na jina lake litakatwa haraka sana kwenye mchujo watakaofanya akina Mangula na Chongolo!Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Sitta aligombea Uspika akiwa mbunge wa Urambo! Alikuwa hajastaafu Ubunge!Wewe ndio hujasoma vizuri katiba ya tanzania. nafasi ya spika inaweza kugombewa na mtanzania yeyote yule ila awe na chama kinachomdhamini. ndio maana marehemu Samwel Sitta aligombea uspika japokuwa alishastaafu ubunge, pia mabere marando aligombea kwa tiketi ya chadema
Mkuu unaweza muwa Spika bila kuwa mbunge wa kuchaguliwaVijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Kasome Katiba vizuri mkuu na kanuni za Bunge...Spika wa Bunge sio lazma awe mbunge mtu yoyote mwenye sifa za kua mbunge anaweza kugombea Uspika na akipita anakura kiapo cha ubunge ingawa lazma awe mwanachama .Ni Naibu Spika tu anae takiwa kua Mbunge kwanzaVijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Ulivyo andika kama msomi kumbe mbumbumbu tu, wakat mwaka majuzi waligombea Hadi kina hashimu rungwe sipunda na hawakuwa wabunge wala nini?Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Uspika hautaki vijana, anatakiwa mtu aliyepitapita maeneo mengi akumbana na changamoto nying, akajenga busara na hekima ya kutosha. Baada ya hiyo kashikashi, bunge lipate mzee wa busara ila siyo mzee wa busara wa Juma Nature na Inspector Harun.Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Huyo ni Waziri Mkuu siyo Spika!! Jielimisheni! Elimu ta uraia ifundishwe ngumbaru.Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Hapana sio kwelii. Mtu yeyote provided kwamba amedhaminiwa na Chama cha siasa kilichosajiliwa rasmi, ana sifs za kugombea nafasi ya SPEAKER WA BUNGE. Sio lazima atokee jimboniVijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
😀😀😀Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii imekaaje wadau?
Vijana kasomeni katiba. Katiba inaeleza wazi sifa za mtu anayetaka kugombea nafasi ya spika WA Bunge, Kwa Sifa hizo basi Steven Masele Hawezi kuwa spika WA Bunge Kwa sababu siyo mbunge WA kuchaguliwa kutoka Jimbo la uchaguzi.
Huyu Maselle, hafahamiki sana uwezo wake kwa siasa za ndani. Kwa nini wasimpe tu Bwana Zungu?