STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

ahahahhahahhahahhahahhah
ngoja nikuitia kaka zangu waone unavocheza na sharubu za simba yani dada yao ndo unampimia hapo?ahahahahha moto2012 kuja pande hiz, SnowBall pacha njoo huku kuna mtu ananichukulia poa!

snowhite hiyo ni just proposal ukisema yes ndo mambo sasa yatajipa na utajua hapa nani ni bepari ni Mr Rocky au Bishanga
Sasa na wewe huyo SnowBall unamuita wa nini maana ni mnoko kama mwalimu wa kiingereza wa shule ya msingi
 
Last edited by a moderator:

eehehehhehehhehehh sosi fulani!
mi sisemi kitu nasubr waje waseme!wao au shemeji yangu Nicas Mtei namshangaa aanavokuchekea au ushapenyeza uchawi wa kizungu! huko?
 
Last edited by a moderator:
snowhite hiyo ni just proposal ukisema yes ndo mambo sasa yatajipa na utajua hapa nani ni bepari ni Mr Rocky au Bishanga
Sasa na wewe huyo SnowBall unamuita wa nini maana ni mnoko kama mwalimu wa kiingereza wa shule ya msingi
af eti umesema SnowBall mnoko kama mwalimu wa kiingereza wa shule ya msingi ahahhahahahhha yani umenikumbusha mbali!lol
af sio kuwa nakuchekea ujue ndo sijui nini !
 
Last edited by a moderator:
shemeji sikuelewi ujue!hili swali mbn limekuwa jepesi sana kwako!]
eti Mr Rocky we ndo umelipia makazi ya huyu shem wangu huko mwza au ulimfata kigali those days?

Mr Rocky yupo mwsho wa reli. Si unajua kuwa CCM wana sherehe zao kule. Pia ana mke na watoto wanne kule. Amepeleka ada.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky naona anafwata kimya kimya nyayo za Erickb52 na Filipo sijui Dena Amsi kapotelea kisimandui
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…