STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

twisheni ya nini tena?? manake kusoma na kuandika kuko kwa aina nyingi sana siku hizi.

gfsonwin kufoji cheque na kuongeza sifuri kwenye maandishi bila kujulikana na namna ya kuandika mikataba ya kilaghai
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imenisemea vibaya sana! Imenidhalilisha sana, imenifadhaisha sana na nimeonewa sana katika hili!
Kipindi hichi ambacho tunatarajia mtoto, mapepo ya kuvuruga ndoa yamekuwa mengi na sasa yamemuingia msuluhishi. Hakika maombi tu ndio yatatusaidia.
Nachukua fursa hii kumwambia mke wangu mpenzi marejesho kuwa nakupenda sana na hivi sasa tunapotarajia mtoto! I love you more than before!
Baba V naomba ureview post yako na kuedit mambo dhalili uliyoniandikia, mke wangu asije akajifungua "pre-mature!"
 
Last edited by a moderator:

We acha tu best deal ndio zatupa kibri mjina hapa....vocha utapata la shaka!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Day's r numbered wandugu, wiki mbili to come ntakuwa ndani ya UE, then after ntarudi kuungana na Jf again. Maombi yenu tu.
 

Kila siku nasema acheni kunihusisha na watalaka wangu....hujui nina ndoa mpya?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Day's r numbered wandugu, wiki mbili to come ntakuwa ndani ya UE, then after ntarudi kuungana na Jf again. Maombi yenu tu.

Mtalingolo dah Mungu akutangulie aise
Umepotea sana mkuu uzima upo aise
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Duuuh!! Naona ni ndoa tupu, ngoja nisubiri mgeni mwenzangu nasi tuhalalishe ndoa takatifu chit-chat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…