The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 820
- 2,070
Kwanini hamwoneshi ligi ya EPL yenye mashabiki wengi?
Mbona Serikali yetu inatupeleka huku kwenye Star tmes ambayo ndiyo yenye matatizo !! Bomu .Sasa mnaposema tulipie 45000 ili tupate free chaneli ambazo no star tv ,ITV, TBC,east Africa, na channel 10 mnataka pesa za mini ili kuunganishwa na free chaneli kama siyo wizi huooo toeni free maana mshasema kutoa bureeee
Changu Kila wakati kinaandika no card inserted...
fika nacho bamanga tbc tv makao makuu wa tatatua.
...
Nimekitupa muda was kusaka pesa nitoe wapi na wakuanza kuzunguka na kingamuz chenu nitumie Tena nauli natoa wapi ebooh
King'amuzi hicho bado kinatumika?Leo 13/1/2019 king'anuzi changu kinaniabdikia channel list is empty hivyo inanifanya nisipate matangazo... Hii ni kuanzia SAA 12 had I SAA 1:58 ... Kulikoni
Kinatumika na kimekata ghafla
Customer care wananiambia kuna tatizo la kiufundi ....
Wangekuwa na ustaarabu wa kufidia muda Kwa kuwa wanacharge Kwa mwezi bila kuangalia mteja aliangalia au alipata huduma yao au vipi ..Leo 13/1/2019 king'anuzi changu kinaniabdikia channel list is empty hivyo inanifanya nisipate matangazo... Hii ni kuanzia SAA 12 had I SAA 1:58 ... Kulikoni
Waache chukua DSTV hawana longolongo.Wangekuwa na ustaarabu wa kufidia muda Kwa kuwa wanacharge Kwa mwezi bila kuangalia mteja aliangalia au alipata huduma yao au vipi ..
Hadi SAA 3 sioni star time