Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Habari. King'amuzi changu hakionyeshi picha za rangi. Picha zote ni Black and White. Kilikuwa kinaonyesha vizuri. Nikichomeka flash au CD, TV inaonyesha picha za rangi. Lakini decoder ndiyo ina shida ya picha za rangi.
 
Channel za ITV na EATV zinascramble sana hasa nyakati za jioni kuanzia saa 10:00 na kuendelea, hili ni tatizo lao au lenu kama washitili?
 
Channel za ITV na EATV zinascramble sana hasa nyakati za jioni kuanzia saa 10:00 na kuendelea, hili ni tatizo lao au lenu kama washitili?
Nilidhani tatizo la dish langu ila naona channels nyingine iko poa isipokuwa ITV na EATV.
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni
Mie nimesahau nambari yangu ya siri, hivyo nikiingia pale setting nashindwa kupata access, msaada wenyu tafadhali
Niko kemondo kagera sioni chanel za ndani namba ya kad 01819189893
 
Startime mawaka la wenu wanazingua kunisajilia king'amuzi changu imagine toka mchana nimeshafunga kingamuzi mpk sasa naambiwa niendelee kusubiri chennel zitakuja tu duh. Ndo huduma zenu ziko hivo au. Nikiwapigia simu mnisajilie mnaniambia nyie hamuwezi sasa kama hamuwezi mnafanya nn ofisini. Nyie ni mbadala wa wakala lakini mnaniambia hivo mi naishije sasa
 
Mwenye namba ya wakala yeyote jamani naomba anisaidie kunisajilia king'amuzi cha startime
 
Mwenye namba ya wakala yeyote jamani naomba anisaidie kunisajilia king'amuzi cha startime
Kwani ulinunua mtaani au kwa wakala,mimi nilinunua kwa wakala na kuisajili hapohapo kazi angu ni fundi kuifunga na kuendelea kuaangalia channels mbalinbali.
 
Hellow habari za kazi… mwaka 2022 nme nunua visimbuzi vya startimes vinafika vinne 4 au vitatu na cha mwisho nme nunua mwezi wa 12 kabla mashindano ya kombe la dunia siku 2 kabla na kime kufa tu mwezi wa kwanza mwaka hui 2023 kwenye tarehe 10 nahs hapo. Sasa sjui shida ni nini hivi visimbuzi vya awamu hii vinakufa sana maana nakumbuka nili nunua kisimbuzi cha mara kwanza kabisa cha metal (chuma/bati) nilikaa nacho sana mpaka kilipo pata kutu. Hebu nisaidieni kutatua hilo tatzo maana mpaka nime amua kuacha kununua visimbuzi nikae tu na kipo ndani bado kipyaaaa lakini kimekufa.
 
Startime mawaka la wenu wanazingua kunisajilia king'amuzi changu imagine toka mchana nimeshafunga kingamuzi mpk sasa naambiwa niendelee kusubiri chennel zitakuja tu duh. Ndo huduma zenu ziko hivo au. Nikiwapigia simu mnisajilie mnaniambia nyie hamuwezi sasa kama hamuwezi mnafanya nn ofisini. Nyie ni mbadala wa wakala lakini mnaniambia hivo mi naishije sasa
Ww ulinunua Kwa chokoraa au
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Kwa anae taka kuwa wakala wa startimes aanze wapi
 
Tunaomba tv ya kbc iongezwe kwenye kingamuzi chenu pamoja na tv za uganda kama sbc
 
Back
Top Bottom