Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Sasa mnaposema tulipie 45000 ili tupate free chaneli ambazo no star tv ,ITV, TBC,east Africa, na channel 10 mnataka pesa za mini ili kuunganishwa na free chaneli kama siyo wizi huooo toeni free maana mshasema kutoa bureeee
 
Mbona Serikali yetu inatupeleka huku kwenye Star tmes ambayo ndiyo yenye matatizo !! Bomu .

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using Tapatalk
 
Star times nimewachoka king'amuz chenu nikikiwasha kinanibusu kila muda tu nawakati nakuwa nimelipia kifurushi cha mwez walau nicheki taarifa ya habari ya bei yakorosho signal nishida yan boreshen miundombinu yenu ya mtandao watu tupate raha mustarehe
 
Msaada wa Remote ya flat starTime nchi 40 zile za mwanzo 2017 nimejaribu Kwa wakala wenu Rockcity mall Mwanza ni zaidi ya miezi sita hawajapata ufumbuzi customer care wababe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo 13/1/2019 king'anuzi changu kinaniabdikia channel list is empty hivyo inanifanya nisipate matangazo... Hii ni kuanzia SAA 12 had I SAA 1:58 ... Kulikoni
 
Leo 13/1/2019 king'anuzi changu kinaniabdikia channel list is empty hivyo inanifanya nisipate matangazo... Hii ni kuanzia SAA 12 had I SAA 1:58 ... Kulikoni
Wangekuwa na ustaarabu wa kufidia muda Kwa kuwa wanacharge Kwa mwezi bila kuangalia mteja aliangalia au alipata huduma yao au vipi ..
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom