Bidhaa na Huduma za wachina zote zina expiry date....ili wakue kiuchumi mnunue zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimelopa tosh 21,000 lakini kuna channels sipati kama Viasat,discovery family, national geographic
Sent using Jamii Forums mobile app
.Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
pole kwa usumbufu unaoupata, tafadhari fika na king'amuzi chako katika duka la startimes lililo karibu nawe kwa msaada zaidiNina wiki 3 channels zote zimepotea baada ya kununua kifurushi, inaonekana TBC1 na Guide tu. Nimeshawapigia simu sana na kuwasiliana nanyi lakn hakuna suluhisho. Msaada tafasali. 02035760135
.
natumia king'amuzi cha antena but from february 6 2019 channel 68 uki play inakuja smartcard error wakati star guide pamoja na clouds tv zinaplay vizuri na kadi imesetiwa vizur.naomba kuwasilisha.ARUSHA NJIRO
Star times ya FTA tsh ngapi?habari yako, chanel ya starguide hata ukitoa kadi yako itaendelea kuonyesha, tafadhari chomoa kadi, ifute kwa kitambaa laini kikavu kisha ichomeke tena, chipu ikitangulia ikitazama chini. endapa tatizo litaendelea fika ofs za startimes pamoja na king'amuzi chako ukiwa na kadi yako pia kwa msaada zaidi
Absurd kwann asiwape serial no mkaangalia tabu NI nnSasa natupa kingamuz Cha pili times NI bomupole kwa usumbufu unaoupata, tafadhari fika na king'amuzi chako katika duka la startimes lililo karibu nawe kwa msaada zaidi
Hata mm NI hivyo nshafuta imekuwa Bure nimekichoka haisaidiihabari yako, chanel ya starguide hata ukitoa kadi yako itaendelea kuonyesha, tafadhari chomoa kadi, ifute kwa kitambaa laini kikavu kisha ichomeke tena, chipu ikitangulia ikitazama chini. endapa tatizo litaendelea fika ofs za startimes pamoja na king'amuzi chako ukiwa na kadi yako pia kwa msaada zaidi
Mimi nililipia oct 2018 channel zikawa cheche tu nmepeleka dukani hadi leo kimya,maamuzi nmebwagaaa tu,nimegundua bure sio bora hata kidogo
Sio chao tu nafikili hata vingine hamna piaIvi kwa nini CAPITAL TV haipo kwenye KINGAMUZI cheni
Hii Chanel Naipenda mno. Kumbe