Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

Not to that extent. Huikumbuki hiyo kauli? Halafu wakati huo huo kuna Azori, kabendela, na yule aliyepigwa tumboni na kitu chenye ncha kali enzi za ulimboka. Nani hajipendi mkuu kisa taarifa ya hao humani raiti wochi?
 
Tumefikia mahali tunapangiwa tutakula nini,tutalala muda gani,tutasikiliza habari gani bado kidogo tutapangiwa tutatakiwa kuolewa au kuowa mabinti/wakaka wa aina gani.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tuepushe kikombe hiki.
 
Dikteta amefaulu kwa hilo
 
Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Anzisha TV station ya kwako na utangaze Kila kitu Bila kukata habari zozote zile
 
Comrade unataka Star TV ifungiwe kurusha matangazo kwa siku 7 kwa kutumia sheria kandamizi za CCM ?
Sio kufungiwa tu na faini millioni 15.Kulipa mishahara kwenyewe kazi halafu uingie kwenye anga za TCRA.Kwa sababu za kiusalama na kibiashara StarTV acheni kuungana na BBC na wanaotaka habari za BBC watazipata online
 
Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Anzisha channel yako uonyeshe bila kukataa matangazo

Cc: Bunge la ulaya
 
Back
Top Bottom