Star TV haipo kwenye orodha ya channel kwenye king'amuzi cha Azam. Shida nini?

Kakumamoto

JF-Expert Member
May 6, 2015
965
1,267
Wakuu habari?

Saa tatu usiku huu nataka kuangalia BBC dira ya dunia lakini star TV haipo kwenye orodha ya channel kwenye king'amuzi cha Azam.

Nyumbani namna gani!?

Nini shida?
 
Back
Top Bottom