Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

tz ndio nchi pekee inayopenda kusikiliza matatizo ya jirani lakini matatizo yake haitaki yasikike kwa jirani.
 
Tangu star TV walipofanya mahojiano na dr slaa baada ya kuondoka chadema sijawahi kuangalia. Kwa uelewa wangu wa kawaida. RAISI MAGUFULI ANAPENDA KUSIKIA ANAYOYATAKA SIO MUUMINI WA KUKOSOLEWA.
Anajificha kwenye kivuli cha vita ya uchumi! Upigane na nani vita ya uchumi hata chanjo za watoto unapewa misaada
 
Picha inaongea ukweli mtupu
Shetani wa kijani yupo kazini!
39006645.jpg
 
Wewe
Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
We Pimbi kweli , Ina maana hujui kama haya ni matunda ya utawala bora wa kihutu wa awamu ya tano ambao wewe ni kibaraka wake mtiifu .
 
Back
Top Bottom