Star TV mbona mnakatisha matangazo ya BBC Dira ya Dunia?

Watu hawako huru katika nchi yao,
Sii jeshi,Mahakama, bunge wafanyakazi, biashara wala wakulima.
Woote wanaugulia wakiitazamia siku ya ukombozi wao kuweza kuwa huru tena.
 
Kama kuna habari mnataka isiwafikie watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda...
Hivi wewe ndio wa kushangaa kwanini hivyo, mbona hukushangaa msimu wa uchaguzi unashangaa leo.
 
Binafsi nishaacha kuangalia vyombo vya habari vya Tanzania nilikuwa nimebakiwa na kipindi hiki tu cha startv kusikiliza BBC swahili saa 3 sasa kama wameanza huu ushenzi siangalii tena nitakuwa naangalia kupitia yutube
 
Kama kuna habari mnataka isiwafikie watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Wanakera mno.

Basi tu, wengine hatujazoea kutumia lugha chafu, lakini........
 
. Star tv itaenda kufungiwa big time bcz of bbc Swahili.

Magu.fool regime kwanza wanamvumilia sana mzee dialo.
 
Tukisema mmeifanya nchi kuwa ya ki fashist mnasema eti tunawasingizia. Haya mmeanza kuona wenyewe???
 
Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo ni hiyo report ambayo JIWE na WACHUMIA tumbo hawataki kuisikia....Wakikata matangazo nenda youtube swahili utaipata live...Mimi walivyokata nikaenda youtube kuiona hiyo report ya haki za binadamu.
 
Back
Top Bottom