Utangulizi.
Kuna madhara makubwa sana hutokea kwenye jamii endapo mwanamke asipofikishwa kileleni. Uzi huu utasaidia kuwaelimisha wadau waweze kuwafikisha 'wake' zao vileleni na baadhi watafanikiwa kuwafanya waweze 'kurusha majimaji' jambo ambalo ndilo somo kuu katika uzi huu.
Madhara ya mwanamke kutofika kileleni ni mengi ikiwemo hasira za mara kwa mara pasipo sababu za msingi, uchepukaji, watoto wa nje ya ndoa ilhali wenza wapo ndani ya ndoa, watoto waishio katika mazingira magumu, ufanisi katika kazi hupungua nk.
Ni imani yangu kila asomaye uzi huu atapata elimu ambayo ikitumika vizuri itatatua ama kupunguza madhara niliyo yaeleza (baadhi) hapo juu.
Pia itafanya kila wenza (mke na mume) wafurahie tendo la ndoa kama ilivyo kusudiwa na muumbaji.
Angalizo:-
Maelezo haya ni kwa nia ya kutoa elimu tu, sintohusika na matumizi mabaya ya elimu hii iwe kwa kutoielewa ama kwa kuitumia nje ya maadili ya dini.
_______
>Ku-'squirt' kwa mukhtadha huu itafsirike kuwa ni kitendo cha mwanamke kurusha maji kupitia njia ya haja ndogo wakati wa mchakato wa kugegedana.
Maji maji haya kwa zaidi ya asilimia hamsini (>50%) si mkojo.
Sehemu ya maji maji haya hutoka mfumo wa kutoa uchafu kwa njia ya majimaji kwenye mwili (excretion) na 'bao' la mke hutoka kwenye tezi jike liitwalo 'skene'
Maji maji haya (hususani mrusho wa pili na kuendelea) hayana UREA ama Nitric Acid, ambapo ni viasilia vya mkojo.
Pia hayana utelezi kama ute ule wa kuloanisha uke wakati wa maandalizi.
>Ku-'squirt' na kufika 'orgasms' ni vitu viwili tofauti ingawaje vyaweza kutokea kwa pamoja (sanjali)
>Vile vile viwango wa maji hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, na siyo wanawake wote wenye uwezo wa kuyatoa na sababu zipo nyingi lakini wanawake wote wakifanyiwa inavyopasa LAZIMA yatatoka.
Namna ya kufanya:-
Anza kwa kuondoa 'vizingiti' vinavyoweza kuzuia mwanamke asifike kilele ama asiweze kurusha maji.
Mifano ya vizingiti ni kama:-
-Kumuondolea mke 'stress' (msongo wa mawazo)
Tumia mbinu zozote zile ili mke asiwe na stress kabla haujaanza mchakato wa mgegedo.
-Hakikisha unamuondolea mawazo ya kwamba 'unamchukulia poa', yani hakikisha anakuwa huru na radhi nawe kufanya mchakato wa mgegedo.
-Hakikisha pia unamuondolea mawazo ya kwamba 'humuelewi', yaani jinsi alivyo, 'aibu' (kasoro) zake, nk
-Hakikisha unaondoa chembechembe za kuto kukuamini, yaani, ufanye ufanyavyo aweze kukuamini (trust)
-Pia hakikisha wewe (mume) uko msafi, hauna harufu za ajabu ajabu au 'sura' yoyote inayoweza kuharibu 'body image' yako kwake.
-Hakikisha mazingira ya sehemu ya mchakato wa mgegedo ni rafiki. Kusiwe na hofu ya kukatizwa kwa kukutwa, ama kuingiliwa na jambo lingine, kuwe tulivu na mwanga wa kutosha uwepo. (Epuka kugegedana gizani)
- Hakikisha pia mna muda wa kutosha kwa ajili ya mchakato, don't be in a hurry or rush!
-Hakikisha mmejiandaa vizuri kwa kuwa na vizuizi vya maji kulowesha godoro ama sehemu ya mchakato.
Mataulo safi na vizuizi vingine mfano nylon nzito (mpira) hutumika.
-Jitahidi mke ajue na kuamini kuwa uke kutoa maji maji si tatizo, bali ni jambo jema, baadhi ya wanawake kwa tabia za mila na desturi zao huona aibu papuchi yake ikiwa na majimaji, asipowekwa sawa kisaikolojia huyu mke hawezi kurusha maji hata siku moja. Wengi pia huona aibu hata kulowesha shuka. Hakikisha unamfahamisha kuwa kulowesha shuka iwe kwa kutoa maji taratibu ama kirusha ni jambo jema na linalofaa katika harakati za kugegedana. Muhimu ni kujiandaa kwa kweka taulo, khanga, na (ama) mpira nk.
Nchi niliyopo sasa ni lazima kila nyumba ya kulala wageni magodoro kuwekewa 'mpira'. Huku karibu wanawake wote wanarusha maji, ni utamaduni na wanawake wote hujifunza hii kitu wanayoita 'kuyanza'. (Squirting)
-Pia unaweza kuwa na vilainishi kwa dharura kwa kuwa siyo wanawake wote wenye uwezo wa kutoa maji ya kulainisha uke kwa haraka, pia vilainishi husaidia kuondoa kumuumiza mke wakati wa kuanza kumsugua sehemu zake za papuchi.
Hatua nyingine ni kujuwa vyema maumbile ya mwanamke hususani sehemu za papuchi hadi kwenye mlango wa kizazi (au kama wanavyoita wengi wao 'kizazi')
Mwanaume (na mwanamke bila shaka) hapa lazima ajue jinsi Ki-s*-imi kilivyo. Ki*n*embe kina umbile kama omega yenye mstari ulio nyooka kwa juu na incha kwenye maungio ya mstari na juu ya omega ambapo ndio kwenye uzi huu tutaita kigoroli.
Kigoroli ndiyo sehemu yenye hisia sana kwa mwanamke, lakini siyo sehemu pekee yenye msisimko kwenye ki*s-imi kwa ujumla maana kuna ile shaft (mistari wa juu) na kulia na kushoto mwa ile omega (mashavuni mwa papuchi) lakini sehemu ya ki.n*-embe.
Muhimu sana mwanaume (pamoja na mke bila shaka) ajue sehemu iiywayo C-spot (au wengine wanaiita U-spot)
U-spot (C-spot) ipo juu kidogo ya njia ya mkojo ya mke.
Mume (mke pia) muhimu ajue kuwa kuna sehemu inaitwa G-spot. Hapa wengi wanapajuwa. Ni sehemu ipo ndani ya uke sentimita tatu hadi tano (inategemea mke na mke) kwa juu kama mke amelala chali. Ni sehemu ipo kama sponji fulani na inaposuguliwa huanza kuwa ngumu kiasi na kusababisha majimaji kutoka sehemu mbalimbali za mwili kupitia mfumo wa utoaji uchafu kwa njia ya mkojo kuanza kujaza kibofu.
Anza kwa kuandaana kama kawaida hadi ki*s-imi kisimame, au uke uanza kutoa ute ule wa kulainisha njia ya papuchi, waweza pia kutumia vilainishi (epuka vilainishi vyenye kemikali), kisha mke akae mkao muafaka.
Kwa wanawake wanaoanza kujifunza ni vizuri 'wakae' kwa kulalia mgongo (chali), miguu wanaikunja kwa kama kuipeleka mabegani mwao (unaweza kukunja magoti pia), hii itafanya papuchi ionekane vyema na kila sehemu itakaa vizuri.
Muhimu hapa mke lazima awe anakuamini ili aweze 'kujiachia'.
Mkao huu huisogeza G-spot jirani na kupunguza urefu wa njia ya papuchi kufikia cervix (ama A-spot)
Mume usiwe na papara wala haraka, anza kusugua kigoroli kwa kichwa cha dushe, kama utaweza pia ingiza kidole kimoja ama viwili (inategemea) ndani ya uke hadi uguse G-spot na kuanza kusugua nje ndani taratibu kama mwendo wa funza.
Kama hutoweza kufanya kwa pamoja , basi kazana hapo kwenye kigoroli kusugua taratibu kwa kichwa cha dushe, unaweza kusaidia dushe kwa kulishika na mkono, yes, taratiiibu huku ukimuangalia usoni kusoma anayokuambia kwa 'body language'. Wake wengine husema kwa sauti kabisa kukuambia fanya hivi ama vile, wengine hujisogeza maungo ili uguse pale atakapo, usihame, fuata atakacho.
Wake hutofautiana sana namna ya kuny*egeshwa na kuongezewa msisimko. Hivyo yafaa wakati wa maandalizi ujue password za mke, wengine wana nywila zaidi ya moja. Wengi hawapendi ku 'disclose' passwod zao, yaani hawapendi mme azijue mara moja, hufurahia mme anapozitafuta kwa bidii kitu ambacho humpandisha ashki. Wengine huwaambia waume kuwa gusa hapa, fanya hivi ama vile. Mawasiliano baina ya mke na mume wakati wa uchakataji ni muhimu sana. Iwe verbal, vitendo ama kwa lugha ya mwili ambapo hukusemesha wakati mwingine bila hata mhusika (mke) kujua.
Itafika wakati mke atahitaji dushe liingie papuchini, mpe, usimbanie hususani kama tayari ulishamuandaa vizuri, lakini ingiza kiasi cha kugusa G-spot tu, sugua hapo hadi utahisi kisponji kimekuwa kigumu.
Endelea kusugua taratiibu bila kubadilisha mapigo bali kwa kuongeza kasi kiduchu kiduchu huku ukisikilizia anavyoitikia kasi hiyo. Kibofu cha mkojo cha mke lazima kianze kujaa.
Itafika wakati atahisi anataka kukojoa (yaani mkojo wa kawaida), mwambie huo si mkojo, asikilizie raha na akihisi kujaa sana basi asukume utoke.
Usimlazimishe kusukuma, itafika tu wakati lazima atasukuma mwenyewe, ukiona dalili hiyo, (mara nyingi papuchi itapwitapwita sana) hapo unaweza kumsaidia kwa kuchomoa dushe na kusugua kigoroli na kis*i-mi kwa ujumla. Kwake njia itakuwa nyepesi kwa ku push ile fluid nje.
Akishatoa maji, acha kusugua hapo juu, ingiza tena dushe na kusugua g-spot upya.
Maji atakayorusha hutofautiana kati ya mke na mke kwa wingi na speed. Kadri mkatavyozidi ku-practice viwango vitaongezeka.
Kuna baadhi hurusha maji pamoja na kufika kilele, wengi wao huwa hawawezi kurudia kurusha mara ya pili hadi baada ya kupumzika, lakini kuna baadhi hurusha maji bila kufika kilele, huyu ukiendelea kumsugua atatusha tena na tena huku akikuambia anataka tena.
Kikubwa hapa ni mume kujitoa kwa ajili ya mke, mpe raha mke kwanza, hakikisha anafika kilele kisha nawe piga taqo zako zile za kuwaita wazungu, kisha mpumzike kwa ajili ya zoezi la pili ama kuahirisha mechi.
Kuchagua mkao ni muhimu sana ili msichoke kwa kukatisha zoezi ili mbadilishe mkao, dumu kwenye mkao huo hadi arushe maji.
Mke akiweza kurusha maji, kufika kilele kwake haitakuwa shida, ukiingiza dushe na kukuna vizuri humo ndani kwenye A-spot, na G-post huku yeye akisugua kigoroli ama wewe kama utaweza lazima afike kilele na UTAJUWA TU.
Kuna wake wengi hudanganya kufika kilele kwa sababu mbalimbali, jitahidi wako asidanganye na UTAJUWA tu kama anadanganya.
Unaweza usifanikiwe kumrusisha mke maji kwa first atempt lakini kadri utakavyo practice atajikuta anaweza na kuzoea na ku control.
Wanaume, tujitahidi wake zetu wafike mshindo. Husaidia sana kujenga uhusiano na heshima.
************
************
Nimelazimika kuandika japo kwa uchache na kwa kutumia lugha nyepesi kufuatia PM nyingi za kutaka nianzishe somo hili. Muda wa ziada kwangu umekuwa mchache sana, hata hivyo naamini hayo hapo juu machache yanaweza kusaidia.
Kama kuna nukta nimesahau, itapendeza mjuzi yoyote aongezee "nyama" na pia wenye maswali wasisite kuuliza kwa nia ya kuelimisha ama kujifunza.
__________
View attachment 1373780View attachment 1373781
James Jason