Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

Kitu chochote kikimwagiwa maji kisikauke lazima kitoe harufu, godoro likimwagiwa maji ya kawaida tu bila kuanikwa lazima livunde au kunuka,

kuna tafiti niliwahi kuzisoma huko google zinakiri kuwa sio mkojo tena ni maji yanayojitengeneza wakati wa tendo kupitia kibofu cha mkojo, muwe mna google sio kubisha tu,



waliyachukua maji kuyapima ya mwanzo yalikuwa na chembe za mkojo kiasi ila kadri yalivyokuwa yakiendelea kutoka ndivyo mkojo ulivyokuwa ukipotea na kubaki maji pure kwa asilimia 100, walifikia hatua wakamuwekea maji yenye ublue mwanamke anaesquirt katika kibofu then akafanya tendo aliposquirt alitoa maji hayo hayo yenye rangi hiyo hiyo ya blue, ingekuwa ni mkojo huo u blue usingeonekana

Kingine maji huzidi hiyo litre moja je kuna mkojo wa kuzidi lita hiyo moja maji yale hayana rangi na ni mepesii
Carlos The Jackal hebu njoo kwa mara ya mwisho maana kuna vichwa ngumu balaa
Wasikusumbue achana nao.
 
Waafrika Ndio MAANA tunaonekana Kama manyani .

Yaani Kuna maprofesa kibao lakini mpaka Sasa hawajafanya utafiti na kugundua kuwa hakuna mfuko Wowote kisayansi unaohifadhi Maji kwenye Mwili Wa binadamu ZAIDI ya kibofu cha mkojo.

Mimi nimekaa Kagera Kwa KAZI maalumu na nilikaa ZAIDI ya Miezi miwili gesti. Ule ni mkojo .
Nilikua Naona magodoro ya kitolewa NJE kuanikwa. Nikawa nafuatilia Kwa karibu na kuangalia michirizi na Maji hayo . Ni wazi kuwa ule ni mkojo. Nilikua Nakata kipande Cha godoro na kukiweka Baada ya Siku mbili Kwa ajili ya kuipata harufu ya hayo Maji . Bila shaka yoyote nilipata Jibu kuwa ule ni mkojo. Mkojo kabisa. Kuaminisha watu na akili zao kuwa Yale ni Maji tu yanayotoka mwilini Mwa Mwanamke nao wakakubali ni unyani. Hakuna kibofu kingine kinachoweza kuhifadhi karibu Lita moja ya Maji kwenye Mwili Wa Mwanamke.

Mwanamke yeyote wakati Wa KUFANYA mapenzi akiwa amebanwa na mkojo asipokwenda msalani kukojoa basi ni rahisi kabisa kumwago kojo lake kitandani kutokana na kulegea Kwa misuli ya kubana mkojo.

Ni ujinga Fulani wanawake waliorithishana baadhi ya makabila na wanaume walivyo wapumbavu wakaona kuwa ni jambo la kifika kileleni.

Narudia Tena hakuna kibofu au mfuko Wowote kwenye Mwili Wa Mwanamke unaohifadhi Maji yenye ujazo Wa karibu Lita moja au Hata robo Lita Zaidi ya kibofu cha mkojo.

Wanasayansi Wa kitanzania waache Imani za Kienyeji wafanye tafiti za kisayansi watupe Majibu Ili watu waachane na ujinga.
Duh!!!...
Sikujua..
 
Habari zenu wadau.

Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki.

Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda anasema anahisi kukojoa na baada ya mda flani kweli anakojoa, tena ananirushia kabisa.

Nimeuliza jamaa wanasema kitaalamu inaitwa squirting, cha ajabu cjawai kukutana nayo enzi za ujahili.

Sasa hii ni normal thing na ni kwa baadhi ya wanawake tu na je ule ni mkojo au nini hasa?
Sio kila mwanamke anatoa hayo maji, na sio lazima awe Muhaya au mnene. Ni maumbile yake tu ndio yanamsababisha kufikia hapo.
 
Sio kila mwanamke anatoa hayo maji, na sio lazima awe Muhaya au mnene. Ni maumbile yake tu ndio yanamsababisha kufikia hapo.

Mikojo hiyo usudanganyike,sema ni utaalamu na maumbile ya mwanamke kuuruhusu huo mkojo kutoka during sex ndio kinachowapagawisha wajinga wachache,

Hakuna zaida ya mikojo hapo hao ni vikojozi wa ukubwani kupitia sanaa ya ngono.
 
Mikojo hiyo usudanganyike,sema ni utaalamu na maumbile ya mwanamke kuuruhusu huo mkojo kutoka during sex ndio kinachowapagawisha wajinga wachache,

Hakuna zaida ya mikojo hapo hao ni vikojozi wa ukubwani kupitia sanaa ya ngono.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah! Haki yanani ..
 
Hongera sana mkuu

Mimi huwa nawakojolesha sana ila sio wote wanakojoa.

Nakumbuka kuna mwanamke nilimkojolesha ila ilikua mara yake ya kwanza na nilivyomuhoji aliniambia alikua hajui nn maana ya kukojoa(lile bao la kawaida) ila hiyo siku ilikua ndio mara yake ya kwanza kufika kwenye kilele kizito.


Ukitaka kumkojolesha mwanamke kwanza anza kuchezea kisimi chake kwa utaratibu mpaka uone amelowana na akilowana anza kutumia kichwa kidogo kukisugua kisimi, hapa inabidi utumie muda kidogo baada ya hapa muulize swali la kizushi tu kama anaskia mkojo umembana, akikwambia ndio mwambia uachie utoke halafu ongeza speed ya kukichezea kisimi chake kwa kutumia kichwa kidogo...ukifanikiwa hii kitu utaondoka na point nyingi sana za urijali hata kama wewe ni wakawaida
 
I'm sorry if my comment will offend anyone.

Ila niseme wazi, mtu kukaa kwenye uzi wa ngono kubishania jambo ni Dalili ya Umalaya. Iwe ni kwa ke au me.

Ninyi mlioshinda huku kuanziw uzi unaanza mpaka ukahamishwa ni MALAYA.

Uzi ulikuwa na lengo zuri, malaya mkaingilia na kuweka madoido yenu mpaka ukahamishwa...uzi ukawa wa porn.

Endeleeni na ukahaba wenu.

I'm Off and I wouldn't like be quoted or replied since I am not a wh..ore to be back here.
 
Back
Top Bottom