Ni petrol,diesel,m ya taa au gesi.
Yule ana antibodies za wave 2 , yupo salama😂unataka awaambukize Kovidi.
Mpango ni carrier wa mzigo wa wave 2.Yule ana antibodies za wave 2 , yupo salama😂
Mwanaume mzima! Una maana kuna cha ziada kwa wanaume, au? Huyu Rais wa kike aliitisha mkutano na wanawake kwa sababu gani? Huyu si anapenda kufanyakazi na wanawake? Unamwambia nini?Yaani mwaume mzima kama unaogopa mikutano ya wanawake inabidi ujiangalie upya inawezekana unamatatizo. Wanawake wanakutana kwansababu ndiyo walezi wa watoto na familia wanaume wa bongo wengi ni kushinda bar, vijiweni, uvivu na kulalamika kila siku. Hii ndiyo sababu Magufuli alipenda kufanya kazi na wanawake