Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

Tumechoka na hii mikutano ya wanawake na nionavyo sasa ni nchi ktk mashindano ya gender. Samia aendelee na wanawake wenzake, wanaume tuendelee na Philip Mpango!

Mkutano wetu hautakuwa na vigelegele, wanamziki na hasa TMK rudini, jiandaeni kuleta burudani.
Vikao vinasaidia nini?
 
Yaani mwaume mzima kama unaogopa mikutano ya wanawake inabidi ujiangalie upya inawezekana unamatatizo. Wanawake wanakutana kwansababu ndiyo walezi wa watoto na familia wanaume wa bongo wengi ni kushinda bar, vijiweni, uvivu na kulalamika kila siku. Hii ndiyo sababu Magufuli alipenda kufanya kazi na wanawake
Sasa mwanaume mzima ualikwe na mwanamke mkutano wa wanaume? Akilaza macho wewe ufanyeje?
 
Sasa mwanaume mzima ualikwe na mwanamke mkutano wa wanaume? Akilaza macho wewe ufanyeje?

Wanaume tumkuwa na mfumo dume na Maraisi 5 leo Mama kaingia miezi tu wanaume wazima wanalia lia. Hawa ni wale wavivu ! tuache mambo ya wanawake. Kama una hoja za kiume ziweke hapa mikutano ya nini!
 
Yaani mwaume mzima kama unaogopa mikutano ya wanawake inabidi ujiangalie upya inawezekana una matatizo. Wanawake wanakutana kwasababu ndiyo walezi wa watoto na familia wanaume wa bongo wengi ni kushinda bar, vijiweni, uvivu na kulalamika kila siku. Hii ndiyo sababu Magufuli alipenda kufanya kazi na wanawake
Uvivu wanaume?
 
Back
Top Bottom