Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,625
Wanataka ndiyo mzeeHuu ndio ujinga wa Ccm. Hawataki watu wenye akili
Wanataka ndiyo mzeeHuu ndio ujinga wa Ccm. Hawataki watu wenye akili
Kongwa wamejaa watu wajinga tupuWana Kongwa walijiandaa kumtema, lakini CCM walihakikisha anapita bila kupingwa.
Mazuzu yapo humo ndaniWabunge wengi ‘walipita bila kupingwa’ na wengine walitangazwa kwa hisani ya wakurugenzi. Bunge hili hakuna baraka ya wananchi.
Ina maana watunga sheria wanazidiwa na mhimili uliojisimika zaidi sada kwa nini waitwe watunga sheria. Bora tu waitwe wapitisha sheriaNduguyao, jukumu la wabunge ni kuwasahihisha au kuwadhibiti hao mawaziri, hivyo mswada mbovu hautakiwi kupita hata kama mawaziri anauona unafaa, ikiwa macho ya wengine wameiona hafai au unamapungufu, Ndio maana kuna kuwa na mijadala. Na kupigiwa "kula" sasa kama hilo halifanyiki ina maanisha bunge linakimbia jukumu lake la kuidhibiti serikali "check and balances"
Yeye angesema wabunge wote hasa wa Ccm wanajipendekeza serikalini. Kutafuta uteuzi na upendeleo majimboni mwaoNduguyao, jukumu la wabunge ni kuwasahihisha au kuwadhibiti hao mawaziri, hivyo mswada mbovu hautakiwi kupita hata kama mawaziri anauona unafaa, ikiwa macho ya wengine wameiona hafai au unamapungufu, Ndio maana kuna kuwa na mijadala. Na kupigiwa "kula" sasa kama hilo halifanyiki ina maanisha bunge linakimbia jukumu lake la kuidhibiti serikali "check and balances"
Kuna faida gani ya kuwa na bunge hilo kama kila kitu kinapitishwa hata cha hovyo Mkuu..Ametudhihirishia kuwa hana say mbele ya mawaziri wakimkomalia. Kuna faida gani ya kupeleka miswada bungeni?
Kwanza hilo siyo bunge linalotakana na maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura na uchaguzi halali.Kuna faida gani ya kuwa na bunge hilo kama kila kitu kinapitishwa hata cha hovyo Mkuu..
Walekebishe sheria zoteSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa.
Au kuna faida gani ya kuwa na bunge?! Watu wanalipwa ghali alafu wanaenda kupiga piga meza tu Dodoma?! Consiparacy to committ Terrorist kabisa hawa Terrorism ni utalii!Ametudhihirishia kuwa hana say mbele ya mawaziri wakimkomalia. Kuna faida gani ya kupeleka miswada bungeni?
Hivi Spika hadi leo hajui kwamba bunge ndo lenye mamlaka ya kutunga sheria? Hii ni kwa mujibu wa katiba na sheria. Ikitokea bunge limetunga sheria za ajabu wa kulaumiwa ni bunge/wabunge. Spika asitoe visingizio vya kitoto.Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa...
Mkuu umenena. Ni vema wawakilishi wetu wawe makini, wasipitishe hizi kanuni na Sheria kishabiki na Kwa Lengo la kuwaumiza wengine, kwani ipo siku itawaumiza na wao. Ni vema wakaangalia maslahi ya Taifa letuNduguyao, jukumu la wabunge ni kuwasahihisha au kuwadhibiti hao mawaziri, hivyo mswada mbovu hautakiwi kupita hata kama mawaziri anauona unafaa, ikiwa macho ya wengine wameiona hafai au unamapungufu, Ndio maana kuna kuwa na mijadala. Na kupigiwa "kula" sasa kama hilo halifanyiki ina maanisha bunge linakimbia jukumu lake la kuidhibiti serikali "check and balances"