Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kwa mara nyingine tena msanii mashuhuri wa katuni ametukumbusha utajiri wetu wa gesi tuliyo ambiwa itaugeuza mkoa wa mtwara kuwa Dubai ya Tanzania lkn leo hii ni misonyo mitupu
FB_IMG_1545128384237.jpeg
 
Nakumbuka kuna kiongozi fulani wakat mradi wa gesi bado mbichi alisema mpaka kugikia 2014 Tanzania itakuwa sio masikini tena kutokana na faida zitakazopatikana kupitia mradi huo
 
Back
Top Bottom