Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.

Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Kuku baada ya kuona mnyama mkali, kaamua kuficha kichwa mchangani wakati mwili wote Uko nje. Ni Sawa na mwizi aliyekurupushwa akajificha kwenye shamba la karanga.
 
Naomba unipe chochote ulichogundua kwenye hii picha.
IMG_20181213_195517.jpeg
 
Ukiitazama vzr hiyo picha utaona mbuni aliyeficha kichwa
Pia,utamwona tai

Huyu mbuni anawakilisha upinzani na tai anawakilisha ccm
Ccm (tai) anataka kuudhuru upinzani (mbuni) lakni haoni chanzo cha mbuni ambacho ndyo kichwa!
 
hiyo picha ni rhetoric hakuna kitu hapo (debe tupu).
Hizo ndizo picha fikirishi sasa sio hizo za kuchora mbweha na korongo ili tu uweke tahamaki kwa watu wakuone Jiniazi.

Hiyo picha inazingumzia tukio la sep 11 vivuli vya hao watu ni yale majengo yaliyolipuliwa na Osama siku ile.
 
aaaah nilikuwa sijaona hivyo vivuli kumbe ni twin tower, kweli hii picha ni true definition of art...
 
Ukiitazama vzr hiyo picha utaona mbuni aliyeficha kichwa
Pia,utamwona tai

Huyu mbuni anawakilisha upinzani na tai anawakilisha ccm
Ccm (tai) anataka kuudhuru upinzani (mbuni) lakni haoni chanzo cha mbuni ambacho ndyo kichwa!
Mkuu, huyo ni tai kutoka sayari ya mbali nini, au macho yangu yame exipaya?
 
Back
Top Bottom