Mpaka imtie mama yako ndo utajua iko vizur.Hata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
Mpaka imtie mama yako ndo utajua iko vizur.Hata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
Mpaka imtie mama yako ndo utajua iko vizur.Hata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
Hapana ....mpaka imfanyie hayo baba yako ndio nitaamini.Mpaka imtie mama yako ndo utajua iko vizur.
Povu lote hili la nini ndugu? Nani kakuambia mimi ni Lumumba?Wapumbavu hawaishi kuzaliwa kwani kwa takwimu zisizo za kidunia, kila wanaume mia moja wanaozaliwa Tanzania, 99 ni wapumbavu waliopitiliza! Haiyumkiniki wewe mleta hoja upo kundi hilo! Ningekufundisha somo la perception lakini hutoweza kulielewa kwa akili kiduchu uliyokuwa nayo! Nakushauri urudi shule ukajifunze ama namna ya kureason au kujipendekeza kwasababu lugha ya picha ambayo huanza kufundishwa darasa la kwanza ulimwaibisha mwalimu wako! Kwa taarifa mchonganishi ni wewe na huenda una bifu la kipuuzi au wivu wa kipumbavu na Kipanya! Na hii ndiyo sababu kuu ya mkulu kuwateua wapinzani kwenye nafasi za juu na kuiacha sampuli ya kwako ikidanga na kupiga miayo! Mtashindia sana bigG hapo lumumba!
Huyo kapanic tu, yeye ana matatizo ya kutafsiri pia kisha anatukana na mipovu mingi..Eti nimetokea Lumumba, sijui mpumbavu blah blah blahh...Umempa ukweli mtupu yani kikatuni hakihusiki na magufuli kabisa. Nakuunga mkono acha Raisi awateue upinzani Wana mawazo chanya kuliko hao wanaoendekeza upuuzi
Wewe umeandika kwa hisia kumfanyia masoud uchochezi na unajua awamu hii watu wanapotezwa kwa Kuwa na maoni tofauti, mimi sijaona masoud akimu mention magufuli hapo ni wewe tu na interpretation zako.Huyo kapanic tu, yeye ana matatizo ya kutafsiri pia kisha anatukana na mipovu mingi..Eti nimetokea Lumumba, sijui mpumbavu blah blah blahh...
Nimeanzisha uzi kwa tafsiri yangu na maoni yangu, kama wengine wafanyavyo hapa JF, wewe kama una tafsiri yako kwa nini unitukane? Si utoe hiyo ya kwako pia?
Eti namchongea kipanya,kwani ni kosa kumkejeli rais hadi nimchongee...?
Of course ni interpretation yangu, mtu mwingine anaruhusiwa kuwa na interpretation yake pia..Hii ni JF haimaanishi kila kinachowekwa hapa ni fact, nyingi ni opinion za watu.Wewe umeandika kwa hisia kumfanyia masoud uchochezi na unajua awamu hii watu wanapotezwa kwa Kuwa na maoni tofauti, mimi sijaona masoud akimu mention magufuli hapo ni wewe tu na interpretation zako.
Of course ni interpretation yangu, mtu mwingine anaruhusiwa kuwa na interpretation yake pia..Hii ni JF haimaanishi kila kinachowekwa hapa ni fact, nyingi ni opinion za watu.
Kama ni kumpoteza kipanya hawaitaji mimi kuwatafsiria ili wampoteze, sio wajinga , wanaweza kutafsiri pia na kama kumpoteza wakampoteza.
Mchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Nimemlishaje maneno sasa, amechora katuni mimi nikatafsiri nilivyoelewa, Mchora katuni anajua katuni yake inaweza ikatafsiriwa tofauti na ndio maana hawaziweki katuni zao zikawa na maana ya wazi sana.Lakini kwanini umlishe kipanya maneno maana mimi nilivoingia kusoma uzi na title ni vtu viwili tofauti kabisa.
Hafu humu JF watendaji wengi hupita na kufanyia kazi sasa mwenzako akitekwa, Ben saanane uzi wake ulimpoteza mazima.
Humu JF hupitiwa na watu wengi hafu uongo ukiachwa hugeuka ukweli
Strictly my opinionUna uhakika gani kama ni kejeli au ww ndo unaleta uchonganishi au Una mgogoro na ki-mouse?
Nimemlishaje maneno sasa, amechora katuni mimi nikatafsiri nilivyoelewa, Mchora katuni anajua katuni yake inaweza ikatafsiriwa tofauti na ndio maana hawaziweki katuni zao zikawa na maana ya wazi sana.
Halafu hiyo katuni nimeiona twitter, instagram na facebook na maoni ya watu karibu wote wametafsiri pia hivyo,
Mods tunaomba jina Nyumbu liruhsiwe kutumika hapa jukwaani. Ona kama huyu hajui utofauti wa kuzama kwa Taifa na kuzama kwa Chadema.Hata Chadema inakufa lakini inasema ipo vizuri
Mtu hawezi wajibika kwa ulichoelewa anawajibika kwa alichomaanisha hapo wapi imeonesha ni Magufuli? Usituaminishe ulichoelewa wwMchoraji maarufu wa katuni Masoud Kipanya amechora katuni ambayo inatafsirika kama kejeli kwa rais Magufuli
Katika katuni hiyo anaonekana mtu amezama majini akiacha mkono tu juu huku akisema yupo vizuri
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni Hali mbaya ya kiuchumi Tanzania iliyonayo hivi sasa huku Rais akisisitiza katika hotuba zake za kila mara kuwa tupo vizuri
View attachment 960560
Dah, sijasema kamdhihaki, nimesema kamkejeli..Na kumkejeli mtu hata kama ni Rais sio kosa, kumkejeli rai sio kumtukana wala sio kosa la jinai..Tatizo liko wapi?Hyo sio tafsiri ulikusudia kumchongea mwenzako eti kamdhihaki Raisi. Bora hata angemchora na bichwa Lake lakini mtu kazama kabisa hapo ungesema hata muogeleaji inge sound better. Wrong interpretation kabisa