Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Dah mtoto ndio anaanza kusimama sasa ole wake asitembee

Au sijui ni mzee ndio kazeeka mgongo umepinda na anatakiwa anyooke wima kutembea

Woiii atajua mwenyewe Kipanya asiniumize kichwa

Merry Christmas wote.
 
Huyu ni mtoto na anaonekana kudekezwa kapewa mazingira yote ya kufanya biashara. Ila pia ndani yake ni picha ya papa au nyangumi kwa maana ya ufisadi ambao unaanza kuota mizizi ndani ya heitisieli.
 
Hiyo ni Ndege mpya na huyo aliye simama ni ccm yani maana yake ni kwamba hao CCM wasione kuwa hizo ndege ni za kwao
 
Dah!!!!
masoudkipanya-20181224-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom