Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,549
inamaana na Ndo maana kaichora.Nilisoma ndiyo ila sio kwamba kuchorachora ni fasihi.
Umepata kuelewa hiyo picha? Hiyo picha haina maelezo yoyote yale ya moja kwa moja zaidi ya kila mtu ataisemea kwa namna aijuavyo.
