Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,692
- 272,558
Mungu mbariki Kipanya
Mungu mbariki Kipanya
Mungu mbariki Kipanya
Nimependa zaidi hii. Ona spika anavyoshikiliwa akili na rais. Huwa napenda kuangalia BBC live kuhusu brexit. Ukiona jins Theresa May anavyowekwa kiti Moto. Yaan mtu anaachwa ajifie mwenyewe kwenye kuitetea hoja yake. Hakuna mhimili unaoingilia mwingine. Sasa ije Huku kwetu rais amsemezeshe spika, majudge, mahakimu, msajili wa vyama vya siasa mkurugenz wa sssr Kila mahali yy tu
Hugo mchoraji anaitwa said Michael yupo cizuri sanaNimependa zaidi hii. Ona spika anavyoshikiliwa akili na rais. Huwa napenda kuangalia BBC live kuhusu brexit. Ukiona jins Theresa May anavyowekwa kiti Moto. Yaan mtu anaachwa ajifie mwenyewe kwenye kuitetea hoja yake. Hakuna mhimili unaoingilia mwingine. Sasa ije Huku kwetu rais amsemezeshe spika, majudge, mahakimu, msajili wa vyama vya siasa mkurugenz wa sssr Kila mahali yy tu
Sorry ni hii picha wakuu.Kwakweli huyu bwana kumuelewa inakuwaga nguma sana.
Naomba aliyeelewa.
Sorry ni hii picha wakuu.View attachment 967226
mkuu ulisoma literature/fasihi?Kuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Kuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Sorry ni hii picha wakuu.View attachment 967226
mkuu ulisoma literature/fasihi?