Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Hivi vitu vya kukejeli hivyo watu vina gharama zake japo ndio njia yake ya kutafuta mkate wa wanawe..ila akianza kulipia gharama zake asipige kelele..hata wachoraji la jarida la charlie hebdo kule ufaransa walilipia gharama za kuchora watu kwa kigezo za vikatuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wape vidonge ndugu kimouse, watanzanie akitekwa huyu mtu tuungane kuandamana hadi kieleweke maana anawapa makavu hadi wanaomba poo
 
....
masoudkipanya-20190109-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom