Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,792
- 40,579
AmiinMungu walinde Kipanya na Lissu
AmiinMungu walinde Kipanya na Lissu
INABIDI TUONGEZE THAMANI YA MAHINDI KWA KUFUNGUA FURSA ZA UFUGAJI SAMAKI NA MIFUGO NAKUSOMA KIPANYA MAHINDI SIYO KWA AJILI YA UGALI TUKipanya nakuelewa sana.View attachment 973601
ILe mahakama yetu pendwa itafanya kazi mpaka 2025?Sasa hivi wanashangia Stieglers Gorge wakati mkataba wa ujenzi wa huo mradi hawaujui.
Nchi ya mazo...mb.i
teh teh teh.Tusubiri majibu kutoka tume ya uchunguzi watuthibitishie kama kweli 2014 umeshafika
Duh !!!teh teh teh.
Kweli nimeamini zile dawa za Mirembe hazina madhara.
AiseeeeeeeeeeeeLoh huyu jamaa ni noma aiseeView attachment 976223
Loh huyu jamaa ni noma aiseeView attachment 976223
Kamwe hutamuelewa!Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kumuelewa
Mbona hii ndio nyepesi zaidi kueleweka? Hiyo ni ndege ya ATCKwa mara ya kwanza nimeshindwa kumuelewa
Imefanyaje ndegeMbona hii ndio nyepesi zaidi kueleweka? Hiyo ni ndege ya ATC
Imepakwa rangi ya upinzani kwa mkonoImefanyaje ndege