Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Brother nimeomba unielezee hiyo picha! sijataka kuimbiwa mashairi.
Exactly what I thought you were. Ni vigumu sana kumfundisha ambae hayupo tayari kufundishika. Am done with you
Brother nimeomba unielezee hiyo picha! sijataka kuimbiwa mashairi.
Hujasoma, huwezi kujibu hivi, kazi ya fasihi lazima kila mmoja aitafsiri kivyake kam ineleweka kirahisi hiyo sio fasihi, hiyo picha ni sawa na kukimbia tatizo ukidhani litajitatua ila ukweli linabaki pale pale, na ukiibuka unalo, au ni sawa na kuambiwa kitu then unaziba masikio kwa viganja ili usisikie, hiyo inakuwa sio suluhu ila tatizo lnabaki pale pale, sasa jiulize nani anaambiwa ila anajifanya kutosikia, hapo ni juu yako! Kwa kidhungu wanasema "running awaya from a problem it is not of solving it" tatua tatizo na sio kuzamisha kichwa ardhini maana ukiibuka unakumbana nalo linakusubiri
Atakuwa amejiandaa kutoelewaAsante sana mkuu. Nimejaribu kumuelezea something to that effect you have explained here. Badala ya kutaka kuelewa anadai hataki kuimbiwa mashairi (as if mashairi si fasihi)
Kuna maandishi hapo umeyashedi maana yake ndo ilipoNaomba unipe chochote ulichogundua kwenye hii picha. View attachment 967282
Kuna maandishi hapo umeyashedi maana yake ndo ilipo
Akimmaliza huyo,atarudi kwa mshua
1. Anaficha kichwa wakati mwili wote uko nje.Kuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Mbona inaeleweka hata kwa akili ndogo tu? Unaficha kichwa ukiogopa dubwasha wakati mwili wote uko nje
Nisuala la muda. Mzee watammeza wakoloni
Bado kidogo aingize kichwa kwenye kumi nanane za wababe. Nao wamshughulikie
YOU BURY YOUR HEAD IN THE SAND...............!!!!!!
yechu yechu yechu,kuna kitu anakitafuta huyu,tumuombee tu asikipate/kisimpate.
nan kakwambia osama ndiye aliyelipua?Hizo ndizo picha fikirishi sasa sio hizo za kuchora mbweha na korongo ili tu uweke tahamaki kwa watu wakuone Jiniazi.
Hiyo picha inazingumzia tukio la sep 11 vivuli vya hao watu ni yale majengo yaliyolipuliwa na Osama siku ile.
Haya Viatu vya SamakiKuna picha huwa anachora zina maana ila nyingine anajichorea tu ili tuone ni Jiniazi.
Al - Qaida ilikuwa chini ya Osama au Obama?nan kakwambia osama ndiye aliyelipua?
mshua ana moto kweli hahaha
Kaliwa kichwa,/Kala kichwaKuna baadhi ya katuni hata yeye hujichorea tu ili tumwone GENIUS.
Sasa hii ina maana ipi hata haielezei lolote. Zaidi zaidi kila mtu atakuja na hisia zake humu.
Hiyo ndio watu wa Mombassa tunaita "Kujitia Mtanga wa Mato"Time will tell,acha tuendelee kujitoa ufahamu.
Hahahahamshua ana moto kweli hahaha
WanadaiHuyu kipanya nafiki kweli. Wanadai alijisuguaga na msasa kwenye paji lake uso awe na ile alama niksda asifiwe eti mtu wa sala na dini