Kwa mim mtaalam harakaharaka hapo sabab sion hata aluminium windows..paa la kawaida la bat zetu za rangi za elf22...kwa ujenz wa kibahili hapo nyumba pekee ukitoa kiwanja ni kama 40m hiv....kiwanja sasa huko pugu sjui ni sh ngap ila hakifik kwa 10m kwa sasa..yeye atakua alinunua bei chin sana enz hzo...so hapo kila kitu na kuvuta umeme etc..weka kama 53m....so jamaa hyo 72.4 atakua anatafta faida na dalal humohumo...angekua anajua kuuza nyumba huyu dalal angemshaur vzur huyo bwana kuwa kwa hal ya sasa nyumba kama hyo location pugu huko hawez uza bei hyo..angeuza kihasara tu labda 50m angepata mteja...asitake mjadala sana...nimempa experience tu..kipind hk cha maguHahaa ngoja aje anijibu mkuu tuone bei yake.
Kwa mim mtaalam harakaharaka hapo sabab sion hata aluminium windows..paa la kawaida la bat zetu za rangi za elf22...kwa ujenz wa kibahili hapo nyumba pekee ukitoa kiwanja ni kama 40m hiv....kiwanja sasa huko pugu sjui ni sh ngap ila hakifik kwa 10m kwa sasa..yeye atakua alinunua bei chin sana enz hzo...so hapo kila kitu na kuvuta umeme etc..weka kama 53m....so jamaa hyo 72.4 atakua anatafta faida na dalal humohumo...angekua anajua kuuza nyumba huyu dalal angemshaur vzur huyo bwana kuwa kwa hal ya sasa nyumba kama hyo location pugu huko hawez uza bei hyo..angeuza kihasara tu labda 50m angepata mteja...asitake mjadala sana...nimempa experience tu..kipind hk cha magu
Ikifika mil 50 nijulisheIMESHUKAA BEII - NJOO NA 63 TUYAJENGEE
50 mbali sanaa... Ongeza helaIkifika mil 50 nijulishe
KaribuAisee
Ya kuuzia ndio hiyo.. Bei iliyobaki ni ya mezani baina ya mnunuzi na muuzajiMillion Mia 340!!! Taja ya kuuzia hiyo si Ni ya matangazo
5 kati ya hivyo 3 ni selfieIna vyumba vingapi na vingapi ni self contained.
🙌🙌Wanunuzi tumeshapiga simu. Nyie endeleeni kucomment.
Km 2..mkuuuMbona kimara nyumba zinauzwa sana? Tyari kimenuka nini na mita 200 za magufuli.
Sijajua logic ya swali lakooHuyo aliyekuwa anaishi humo ndiyo mwenye nyumba au alihama akaacha mtu amlindie?
SawaaMi hata nikijenga vyumba 5 hapana
Endelea kutafutaunaeza sema wewe mvivu ila hamna namna ngoja niendelee kutafuta 🚶♂️ 🚶♂️