mathewa
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 784
- 1,180
Kipindi pingu na deso wanasoma hapoWewe nadhani tutashare memory.
*Tushapewa sana madaftari ya city council.. *enzi hizo hakuna uzio..
*stand ipo nje ya shule pale..
*UGOMVI WA AZANIA NA BENJA 2001 baada ya mechi palichimbika mitaa ya kkoo...
*makonzi ya second master mr mapunjo na mr byampanju "where is your neck tie?".
*ushindani wa makundi ya muziki na wasanii wanafunzi
..
Shule imetafuna miaka yangu saba ya taaluma..MUCH RESPECT
sent from my kimobitel