Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Duh hapana, nmetoka 2009.mara ya kwanza big alikua anapika mihogo kwenye banda nazani baadae ikaja kuwa darasa ya shule ya gerazani pale.. Hyo 2007..ile shule ya sekondari haikuwepo.. Akahama akahamia nyuma kule, pilipili yake ilkua unajichotea mwenyewe ilikua kama maji, nakumbuka wanafunzi wakawa hawali canteen had masister duu wakawa wanakuja kwa big, uongozi wa canteen ukasema unapata hasara.. Kwa hyo wakazuia watu kwenda kwa big, na sisi member wa big tukagoma tukwa tunaruka ukuta, mwisho wa sku wakaamuru Big aje kupikia mihogo mule ndani karbu na canteen, hii pia ikaleta usumbufu mana mabrother men kuonekana wanakula mihogo wakawa hawataki, basi mwisho wa siku big akarud sehemu yake ya awali
Sio kma maji...yalikuwa maji yaliyowekwa chumvi,ndimu na pilipili

muhuni
 
Form IV class of 2011... Much respect to MATESHI ESB kati ya waalimu ntakao wakubali maisha yangu yote... Bila kuwasahau Franco, Mkindi, Madam Kassim

Nakumbuka mzee alitaka kunihamisha anipeleke boarding ila ufundishaji wa Mateshi ukanipa ujasiri wa kumwambia asihangaike.... Am glad I made it.

Nimepata taarifa kastaaf this year April.
Franco alichukuliwa na Tusiime sec

muhuni
 
[emoji23] [emoji23] kma kawaida yakee na hata rangi hajabadili

muhuni
Haina kioo cha kushoto amefunika kitambaa sa cjui trafick wanamuonea huruma kusa ni mlemavu
 
[emoji23] [emoji23] hasa ukiwa mchelewaji lazma uisome namba labda uruke ukutaa

muhuni
Duh yani mlifkia hadi hatua ya kufuatliana wachelewaji.. Sisi tulikua tunaingia mda wowote unaotaka, kuna mwana alikaa miezi 3 hajawah kanyaga class,
 
[emoji23] [emoji23] hasa ukiwa mchelewaji lazma uisome namba labda uruke ukutaa

muhuni
Hadi nikaanza kuwa naingia shule wakati wa break ya O level sa 4 natoka sa 7
 
Back
Top Bottom