sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Labda....ila huwa anachelewa kutoka kwahyo traffic hamna mida hyoHaina kioo cha kushoto amefunika kitambaa sa cjui trafick wanamuonea huruma kusa ni mlemavu
muhuni
Labda....ila huwa anachelewa kutoka kwahyo traffic hamna mida hyoHaina kioo cha kushoto amefunika kitambaa sa cjui trafick wanamuonea huruma kusa ni mlemavu
Duuu huyo inaelekea alikuwa mzee wa mchikidownDuh yani mlifkia hadi hatua ya kufuatliana wachelewaji.. Sisi tulikua tunaingia mda wowote unaotaka, kuna mwana alikaa miezi 3 hajawah kanyaga class,
Zaman alikuwa analeta kwa gutaAnapiga pesa sana ana miliki na ki carry cha kubebea mihogo
[emoji23] [emoji23] dagaa mchele alikuwa analeta mama flani hivi alikuwa anakaa canteen,...vp bado kuna ile kachumbari ya kuuzwaa au waliachaaYanaweka kwenye ndoo unachota na kikombe na dagaa mchele anaweka sku izi
Mda mwingine walikuwa wanakaza hadi mida ya saa 4Hadi nikaanza kuwa naingia shule wakati wa break ya O level sa 4 natoka sa 7