Nilipokua form one. Nafikiri alikua Mr. DEO, kipindi hiko joel ni mwalimu wa kawaida tu alikua anafundisha chemistry, advance, alivoondoka DEO sikumbuki alikua nani tena, mana shule ilipoa haikua na mnoko mwingine.
Nmeikumbuka sana benja, tulikua tuna shift mbili kuingia asubuhi hadi saa 6. Nyingine unaanzia saa 6 mpaka 11,kulikua hakuna maswala ya kukaa assembly, yani unaweza kutega hata mwezi mzima na wala usifuatliwe,
Chimbo letu la kusoma kulikua kuna vyoo kule jengo la Azam kabla hata hawajaeka madirisha.
Kila ijumaa kulikua kuna mechi ya mpira, nakumbuka mpaka tunamaliza hatukuwah kucheza na Azania walimu wakihofia ugomvi..