Kasonde amehama Lin Mkuu?Tokea shule ile ianzishwe ni
Form4 2010 na form6 2016 ndio matokeo mazito
Division one 45 na 53 respectively
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia alipata division oneSheta nae alisoma Benja mwaka 2008 Aje humu ajibu kwa nn alikuwa mtoro sana shuleni?
HahahahahaSiku hizi yupo mtoto wa kibonde wa pale clouds mwembamba kma mti
Daaah mkuu unanigusa sanaDuh hapana, nmetoka 2009.mara ya kwanza big alikua anapika mihogo kwenye banda nazani baadae ikaja kuwa darasa ya shule ya gerazani pale.. Hyo 2007..ile shule ya sekondari haikuwepo.. Akahama akahamia nyuma kule, pilipili yake ilkua unajichotea mwenyewe ilikua kama maji, nakumbuka wanafunzi wakawa hawali canteen had masister duu wakawa wanakuja kwa big, uongozi wa canteen ukasema unapata hasara.. Kwa hyo wakazuia watu kwenda kwa big, na sisi member wa big tukagoma tukwa tunaruka ukuta, mwisho wa sku wakaamuru Big aje kupikia mihogo mule ndani karbu na canteen, hii pia ikaleta usumbufu mana mabrother men kuonekana wanakula mihogo wakawa hawataki, basi mwisho wa siku big akarud sehemu yake ya awali
Hahahahaha
Form3Upo form ngap dogo?
Yaah, huyo jamaa namkumbuka kwa jina, sio geni masikioni but nafikiri alikua artsHahahahaha
Mkuu elimu hii
Vipi kuna mwanafunzi aitwaye fredy ndembo ushawahi msikiaga??
Sent using Jamii Forums mobile app
AaaaaahYaah, huyo jamaa namkumbuka kwa jina, sio geni masikioni but nafikiri alikua arts
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wamehama isipokuwa sir combo tuuNakataa mwaka huu nimemuacha yupo ni academic master
Aliyehama mwaka huu ni Lugano headmaster amehamia Gerezani
Mkuu niamini mie kasonde yupo tambaza namuona kila sikuNakataa mwaka huu nimemuacha yupo ni academic master
Aliyehama mwaka huu ni Lugano headmaster amehamia Gerezani
Mkuu Fanya siku moja tukawasalimieForm 3 kama yupo humu wa mwaka huu awasalimie wale madogo vichwa vibovu kina Devi,Bruno,James,Omar,na wengne wote
AaaaaahUpo form ngap dogo?
Achana huyo wa kusuka sisi tulifanya usela mavi wa kuvamia office ya mkoloni dadeqMkuu Fanya siku moja tukawasalimie
Au tuandae hata ka_event maana pale ni nyumbani kwakweli
Sema ile nafika tuu benja nipo form 1 kuna form2 mmoja muhuni alikujaga skul amesuka
Daaaaah kuna watu wamechezea shule jamani
Ila kuna Dada mmoja aliyejulikana kwa jina LA winnis form six alipiga one ya 5 PCB
Aisee Nampongeza hadi kesho
Sent using Jamii Forums mobile app