Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Nilimaliza hapo mwaka 2003 O level.Namkumbuka sana mama Saria,mwalimu wa biology.Alikuwa ni mtu poa sana
 
Umeona wakati watu tumesoma enzi za city school enzi za Kihawa (rip) enzi za mapunjo, mama mgasa apana chezea

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Wewe nadhani tutashare memory.
*Tushapewa sana madaftari ya city council.. *enzi hizo hakuna uzio..
*stand ipo nje ya shule pale..
*UGOMVI WA AZANIA NA BENJA 2001 baada ya mechi palichimbika mitaa ya kkoo...
*makonzi ya second master mr mapunjo na mr byampanju "where is your neck tie?".
*ushindani wa makundi ya muziki na wasanii wanafunzi
..
Shule imetafuna miaka yangu saba ya taaluma..MUCH RESPECT
 
Back
Top Bottom